hp4510 JF-Expert Member Joined Jan 16, 2012 Posts 9,013 Reaction score 10,034 May 11, 2026 #21 Tlaatlaah said: kulikoni nikae magereza na mimi ni raia mwema na mtiifu kwa sheria na katiba ya nchi gentleman? Click to expand... π sasa Raia ambao sio wema wamesema gerezani wanawake hawavai Hereni Means possibly yule dada sio mfungwa, Swali ni why alitambulishwa kama mfungwa? .
Tlaatlaah said: kulikoni nikae magereza na mimi ni raia mwema na mtiifu kwa sheria na katiba ya nchi gentleman? Click to expand... π sasa Raia ambao sio wema wamesema gerezani wanawake hawavai Hereni Means possibly yule dada sio mfungwa, Swali ni why alitambulishwa kama mfungwa? .
Mbaga Jr JF-Expert Member Joined May 28, 2018 Posts 54,814 Reaction score 133,717 May 11, 2026 #22 Mama amenawiri kwa kula mshahara na posho kila mwezi π₯
Karne JF-Expert Member Joined Jun 13, 2016 Posts 11,394 Reaction score 21,391 May 11, 2026 #23 Yaleyale ya wakatoliki wavaa vijora na mapambio ya kilokole.π
A amanij JF-Expert Member Joined Apr 13, 2015 Posts 530 Reaction score 286 May 11, 2026 #24 The Palm Beach said: View attachment 3587184 Click to expand... Ile ilikuwa show au onyesho. Kwa hivyo wafungwa walipewa mavazi na kurembwa ku fanya show ile. Wakimaliza zote zinachukuliwa
The Palm Beach said: View attachment 3587184 Click to expand... Ile ilikuwa show au onyesho. Kwa hivyo wafungwa walipewa mavazi na kurembwa ku fanya show ile. Wakimaliza zote zinachukuliwa
JamiiCheck JF-Expert Member Joined Nov 3, 2023 Posts 245 Reaction score 267 May 12, 2026 #25 The Palm Beach said: View attachment 3587184 Click to expand... JamiiCheck imefuatilia na kujiridhisha kuwa picha hii si halisi bali imehaririwa kwa Akili Unde. Zaidi soma: POTOSHI Je, picha hii ya mfungwa aliyevaa hereni kutoka gereza la UKONGA ni halisi?
The Palm Beach said: View attachment 3587184 Click to expand... JamiiCheck imefuatilia na kujiridhisha kuwa picha hii si halisi bali imehaririwa kwa Akili Unde. Zaidi soma: POTOSHI Je, picha hii ya mfungwa aliyevaa hereni kutoka gereza la UKONGA ni halisi?