Wakili Peter Madeleka, Wakili Boniface Mwabukusi na Dkt Wilbroad Slaa kuongea na Waandishi wa Habari kesho tarehe 12/07/2023 Mesuma Hotel, Makumbusho

Wakili Peter Madeleka, Wakili Boniface Mwabukusi na Dkt Wilbroad Slaa kuongea na Waandishi wa Habari kesho tarehe 12/07/2023 Mesuma Hotel, Makumbusho

Mwande na Mndewa

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2021
Posts
1,117
Reaction score
3,153
Wakili Peter Madeleka,Wakili Boniface Mwabukusi na Dkt Wilbroad Slaa kuongea na Waandishi wa Habari kesho tarehe 12/07/2023 Mesuma Hotel,Makumbusho,Dar es Salaam.

IMG-20230711-WA0133.jpg
 
Vision aliyokuwa nayo baba wa taifa mwalimu Nyerere ni watanzania wenyewe watumie rasilimali zao kujenga nchi yao, siyo genge la watawala wenye tamaa kupiga nchi mnada ili waishi maisha ya kifahari wao na vizazi vyao.
 
Makini sana bro
 
Wapunguze ukali wa maneno, hasa huyo mwaisa. Inahamisha mjadala, badala ya watu kujibu hoja wanaanza kusema mnamtukana mama naniliu.
 
Vision aliyokuwa nayo baba wa taifa mwalimu Nyerere ni watanzania wenyewe watumie rasilimali zao kujenga nchi yao, siyo genge la watawala wenye tamaa kupiga nchi mnada ili waishi maisha ya kifahari wao na vizazi vyao.
Vision yake ngumu kutekelezeka
 
Hawa jamaa sio kwamba hawana point kwenye hoja zao, wana point tena nyingi. Tatizo wanapo feli, press zao huwa wanatoka nje ya mstari wa mada husika zinazolikabili taifa, na kushambulia watu personal.

1) Kwa kushindwa kudhibiti hisia zao.

2) Kwa kutafuta huruma au kuvuta hisia za wananchi.

Dr. Slaa ndio bingwa wa kutoka kwenye mstari wa mada husika zinazo litikisa taifa, na huwa mara nyingi anatafuta hifadhi kwa huruma/hisia za wananchi kwa kushambulia watu personal (Mara nyingi hushambulia wafanya biashara, na hata sio hata wanasiasa). Hushambulia watu ambao yeye anajua ni rahisi kuwavuta wananchi kihisia.

1) Dr. Slaa huwezi kumsikia akimshambulia Speaker Wa Bunge kwa kupitisha ukiritimba wowote.

2) Dr. Slaa huwezi kumsikia akimshambulia Waziri Mkuu wa kupotosha au kudanganya wananchi.

3) Dr. Slaa huwezi kumsikia akimshambulia Makamu Wa Rais kwa kutokumshauri au kukaa kimya kwenye maswala yanalo likabili taifa.
Hao uliowataja, washambulie wewe,
Usimpangie cha kusema
 
Back
Top Bottom