Wakili Peter Madeleka, Wakili Boniface Mwabukusi na Dkt Wilbroad Slaa kuongea na Waandishi wa Habari kesho tarehe 12/07/2023 Mesuma Hotel, Makumbusho

Vision aliyokuwa nayo baba wa taifa mwalimu Nyerere ni watanzania wenyewe watumie rasilimali zao kujenga nchi yao, siyo genge la watawala wenye tamaa kupiga nchi mnada ili waishi maisha ya kifahari wao na vizazi vyao.
 
Makini sana bro
 
Wapunguze ukali wa maneno, hasa huyo mwaisa. Inahamisha mjadala, badala ya watu kujibu hoja wanaanza kusema mnamtukana mama naniliu.
 
Vision aliyokuwa nayo baba wa taifa mwalimu Nyerere ni watanzania wenyewe watumie rasilimali zao kujenga nchi yao, siyo genge la watawala wenye tamaa kupiga nchi mnada ili waishi maisha ya kifahari wao na vizazi vyao.
Vision yake ngumu kutekelezeka
 
Hao uliowataja, washambulie wewe,
Usimpangie cha kusema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…