Wakili Robert Amsterdam ni nani?

Haya maandishi yameandikwa na vibaraka wa watawala wasiopenda demokrasia itamalaki.

Hakuna lolote! Mwaka huu mtanyoooka tu.
 
Nilikuwepo Thailand wakati wa mapinduzi ya kumuondoa Bilionea waziri mkuu Thanksin lakini hata baada ya kupinduliwa na jeshi baada ya madai ya ufisadi mzito,iliporudishwa serikali ya kiraia dada yake akaukwaa uwaziri mkuu,lakini nae akaondolewa na jeshi kwa kosa hilo hilo la ufisadi,baada ya vurugu na maandamano makubwa kupinga serikali hiyo.Kumbe hizo vurugu zote ndani yake kulikuwa na bwana Amsterdam.
Kwa mawazo yangu sina uhakika kama ni mtu au kundi liliomtambulisha Lissu kwa kampuni ya Amsterdam ,wala sijui madhumuni ya Amsterdam nje ya kazi ya kumtetea mteja wake.Tusubiri matokeo ya kazi yake kwa mteja wake labda litakuwa fundisho kubwa kwa kizazi kipya.
 
Soma mkataba wao!!?? Atamuhakikishia ulinzi wa kisheria popote. Hii ni kutokana na umaaluni wa jiwe. Unampiga mtu risasi halafu hutaki upelelezi ufanyike. Mawindo ni wauaji waliokosa target wa jiwe na jiwe mwenyewe.
 
Huyo ana mawazo hasi kama yako. Alitendwa huyo mwandishi. Alikuwa ni mwendesha mashitaka alipoteza kesi dhidi ya Amsterdam. Nikiwa nchi ya watu nilifuatilia kesi hiyo. Tatizo mna google ujinga alaf bila utafiti unaleta uku. Uliza listi ya waendesha mashitaka wa kimataifa dhidi ya Amsterdam utawaona na jina la huyo fala utaliona. Kwa kukusaidia ingia tuvuti ya ICC the Hague utapata wee TAGA
 
Kuna Mambo makuu mawili yatakayo mtesa sana magufuli mahali popote alipo nje na ndani
1.Kumpiga Lissu risasi
2.Kujenga Kiwanja cha ndege kijijini kwake
 
Hata kama "SHETANI" atamsaidia "LISSU" kuing'oa CCM madarakani, basi raia tutamuunga mkono kwa juhudi zote.

Kwasababu CCM ni zaidi ya "SHETANI" alielaaniwa mwenyewe.
Lisu aliongea hilo pia wakati akimpokea Lowasa kuwa wao Chadema wako tayari kumpokea hata Shetani MWENYEWE kama atawasaidia kuiondoa CCM madarakani.Hiki unachoongea ndio ilikuwa kauli ya Lisu alipoulizwa kwa nini mumempokea Lowasa kuwa mgombea wakati mlimwita fisadi?

AnywayTaifa hili liko chini ya Mungu aliyetushindia Corona kama humjui.Huyu Mungu hataruhusu Shetani awe wa ubelgiji au Singida au kuzimu ashike nchi
 
Ccm na serikali yenu mwaka huu mnalo tunataka kuona jeuri yenu😂😂😂
 
Soma mkataba wao!!?? Atamuhakikishia ulinzi wa kisheria popote. Hii ni kutokana na umaaluni wa jiwe. Unampiga mtu risasi halafu hutaki upelelezi ufanyike. Mawindo ni wauaji waliokosa target wa jiwe na jiwe mwenyewe.
Kama umenielewa hutapata tabu kuona kuwa huyo wakili anachokifanya sio sahihi, kinachoonekana ni vitisho na kuingilia michakato ya Taasisi za Taifa huru,

Huwezi mwambia mkuu wa Taasisi flani kuwa usipofanya hivi kwa mteja wangu nitahakikisha unapelekwa ICC au kuwekewa vikwazo.

Kila mchakato unataratibu zake za kuukabili na taratibu hizo hazifanani, Pili barua zake hazina madhara kisheria kwa hapa nyumbani kwani hana kibali cha kufanya shughuli za uwakili ni za kupuuzwa tu, tatu kesi za Uchaguzi huwa hazipelekwi ICC, kule zinakwenda kesi za jinai zinazohusiana na mauaji ya kimbari, maswala ya uchaguzi yanashughulikiwa na mifumo iliyowekwa ndani ya nchi husika.

Kuhusiana na maswala ya vikwazo lazima kuwe na maazimio ya nchi wanachama wa jumuiya za kimataifa ukiachana na vile vikwazo vya nchi moja moja. I.e US ama EU kwa Sasa dunia haiendeshwi na tena na kauli za Taifa moja maendeleo yametapakaa kona ya dunia hivyo ukikosa hapa unapata kule, hakuna tena monopoly katika upatikanaji wa vitu, hivyo mikwara haifui Sana dafu .

Tanzania tumekuwa na chaguzi za amani na hakujawahi tokea matukio ya kupelekea mtu kuhitajika ICC au kuwepo vikwazo vya kimataifa, hatuna historia hiyo wala kwa Sasa hakuna viashiria vya hayo kutokea, amani imetawala na uchaguzi utapita JPM na Mwinyi wakikamata usukani na sisi tukiendelea kulijenga taifa letu pendwa Tanzania.
 
CCM huwa nawaambia kila muda kwamba mkitaka Robert Amsterdam asiwalale, basi tekelezeni ahadi yenu kwake kwamba uchaguzi huu utakuwa huru na wa haki 😆
 
CCM huwa nawaambia kila muda kwamba mkitaka Robert Amsterdam asiwalale, basi tekelezeni ahadi yenu kwake kwamba uchaguzi huu utakuwa huru na wa haki 😆
HV chadema mnapata wapi Ela ya kumlipa huyu mzunguko???au ndo m8chango ya wenye migodi...Amsterdam & Partners Eyes $4M Fee from Venezuela
Fri., Mar. 27, 2020
By Kevin McCauley
Amsterdam
Amsterdam & Partners will receive a $4M flat fee to push for the removal of US sanctions on Venezuela. The US does not recognize the government of Venezuela.

A&P assumed the work of Foley & Lardner, which resigned the account last month after Florida Senator Rick Scott blasted it for representing the "brutal regime" of Nicolas Maduro.

F&L was in line for a $12.5M flat fee for devising a "narrative and strategy" to help Venezuela remove the sanctions.
 
Tuna vyanzo vingi vya mapato
 
---------------‐------
I am writing this article as an African. Diaspora alerting the African Union to be aware with Robert Amsterdam who claims to be an international lawyer and Political Adviser. Amsterdam has started to set a violence strategy in African countries heading to their elections.

Mr. Amsterdam is famous to us as the Canadian International lawyer who was born in 1956. He runs the law firm called Amsterdam& Partners, with offices in. Washington D.C. and London.

Credible investigators information confirmed that for a cup of years Amsterdam has supported political violence in Europe, Asia, Latin America, Middle East and Africa.

Amsterdam who was awarded a BA from Carleton University ( Ottawa, Canada) in 1975 and LLB from Queen's University ( Kingston, Canada) in 1978 is practicing Public International law, international criminal law and political advocacy as well as providing dangerous directives to institutions and persons with political risk guidance.

He is Proffesional on issues pertaining to resource nationalism and expropriation, while also representing sovereigns in disputes with foreign investors.

His unique blend of political advocacy and international law has led to his retention by several governments and world leaders, such as Republic of Turkey, the Former Prime Minister of Thailand Thaksin Shinawatra, former President of Zambia Rupiah Banda, Governor Godswill Akpabio of Akwa Ibom state in Nigeria, among other high profile figures.

Amsterdam has successively setled disputes for mojar corporations such as PWC and the Four Seasons Hotel & Resorts Group in Venezuela, and also worked the well known Gutierrez case in Guatemal, which involved representing the victims of one of the country's largest alleged tax fraud and money laundering schemes, while also advising companies on opening new markets and managi g political risk.

Amsterdam would go on to present famous political prisoners such as Eligio Cedeno in Venezuela, African political leaders such as Nigeria's Nasir Ahmad el - Rufai, and leading democracy advocates such as Singapore's Dr. Chee Soon Juan.

Amsterdam's clients are hopeless causes, guilty of such overt criminality there really is no defense.

And while it may be noble to defend such men, adhering to the best traditions and values of the West, Robert Amsterdam goes well beyond this, abusing this responsibility in order to carry out specific political objectives on behalf of globalists with whom he consorts.

Robert Amsterdam is also involved in providing legal advices on gay people, homosexuals and Lesbians.

A good example is the posts in his website on November 24, 2011 and January 25, 2013 respectively that were defending homosexuals in Russia when the country's Duma was about to pass the bill of banning homosexuality misconduct.

Robert Amsterdam is recently involved in changing the good conduct of Uganda opposition NUP Leader Robert Kyaguranyi ( Bobi Wine) from opposing homosexuals to advocating and supporting homosexuals.

Robert Amsterdam is currently working with CHADEMA Presidential Candidate Tundu Lissu in ensuring that is rights are assured. He is also helping Lissu to win elections using threats na violent tactics against the government and police force.

He has also agreed with CHADEMA and Tundu Lissu to support homosexuality in his campaigns to continue receiving financial and legal support.

Already, Lissu through different press conferences has pledged to introduce laws that support homosexuality and Lesbians if elected to be the President of the United Republic of Tanzania.

 
My advice!!
It’s too late, you had a chance to advice Magufuli to respect human rights and democracy but you didn’t!! Now just wait and enjoy the show

A lot is coming[emoji116]

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…