Wakili Robert Amsterdam ni nani?

jambo muhimu ni kwa viongozi waliozoea kufungia raia ndani na kutesa kutambua sasa dunia ni kijiji. Zama za kutesa watu kama mifugo yao imepita.Madikteta hawako salama
 
Mimi ni mtanzania halis, kwa ujinga unaofanywa na tume ya taifa ya uchaguzi wakishirikiana na jeshi La polis, vurugu tunazikaribisha wenyewe.Kwa mtazamo wangu wale wajumbe wa tume sio wazalendo kwa taifa letu.
 
Wwe siyo Mtanzania halisi,maana sisi Watanzania halisi hatuna muda wakulazimisha watu watujuwe kua sisi ni Watanzania halisi Kama unavyofanya wwe!!
 
It does not matter whichever his nationality is , in such countries, duality is the order of the day. Many people who are Canadians are also US citizens and it is pretty common. What matter is what does he stand for...
 
Pumbuani...low level of exposure wabongo wengi wanayo...poleni ni yeye2020
 
Wwe siyo Mtanzania halisi,maana sisi Watanzania halisi hatuna muda wakulazimisha watu watujuwe kua sisi ni Watanzania halisi Kama unavyofanya wwe!!
Haahaa whatever, ila tambua hilo, kwa ujinga wa pale tume tunajiangamiza wenyewe.Tume inaengua wagombea wa upande mmoja kwa sababu za kijinga kabisa, wakati mwingine nawaza huenda tume wana nia mbaya na taifa letu
 
Amsterdam anatafuta biashara tu. . . .akuze profile yake. His intensions are purely on business
 
Amsterdam, who are you? what do you want from our country?
 
Mataga , Lumumba buku saba mnahangaika sana , Robert Amsterdam anajulikana vizuri sana Kama kiboko ya madikteta wa Africa , nyie endeleeni na upuuzi wenu wa kuvuruga uchaguzi awanyooshe ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…