Wakili Robert Amsterdam ni nani?

Akili yako kama ya WATURUKI wa YAPI
 
Wewe Lumumba sycophant, si heri ungeandika tu Kiswahili (au yawezekana hata Kiswahili nacho hakipandi!). Acheni kudandia lugha za watu msizozielewa, eti an African. Diaspora...shame on you!
 
Hivi huyu Amsterdam ndo analazimisha uchaguzi wetu usiwe wa wazi,huru and fair? Hivi sisi waafrica and particularly Tanzanians tunashida gani upstairs? Yaani kwa mfano kitu vibaya alichosema na kutenda huyu Amsterdam kwa nchi yetu ni nini?
 
Hivi huyu Amsterdam ndo analazimisha uchaguzi wetu usiwe wa wazi,huru and fair? Hivi sisi waafrica and particularly Tanzanians tunashida gani upstairs? Yaani kwa mfano kitu vibaya alichosema na kutenda huyu Amsterdam kwa nchi yetu ni nini?
Tumeshindwa kujiongoza
 
Robert haijui Tanzania

Yeye na lissu watajuta maisha yao yote
Kwamba Tanzania hatuwezi kufanya uchaguzi ulio wazi,huru na haki? Or what do you mean unaposema hajui Tanzania, na hiyo Tanzania ina umaalumu gani kwenye dunia hii?
 
Ni sawa tu.... Kama atahakikisha uchaguzi unakuwa Free and Fair sote wananchi tutamuunga mkono...
 
It does not matter whichever his nationality is , in such countries, duality is the order of the day. Many people who are Canadians are also US citizens and it is pretty common. What matter is what does he stand for...
Which is fairness and justice
 
Mpaka Waafrika mkikubali kuwa nyie ni maskini na hamuwez kuishi bila wazungu
Hapo ndio mtakuwa na sauti ya kukemea wazungu
 
Zile pyu pyu zisingetokea Dodoma wala Robert Amstedam asinge yajua haya ya Tanzania na CCM mpya.
 
Tanzania Ndio iliikomboa Africa

Hakuna hata panya ataingilia Uchaguzi wetu wataishia kutoa vipeperushi tu
Kwani hao unaowaita panya wanasema wanataka kuingilia uchaguzi wenu au wamewataka mhakikishe uchaguzi unakuwa fair,transparent and free ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…