Wakili Robert Amsterdam ni nani?

Wakili Robert Amsterdam ni nani?

Mtukufu magufuli kasahau kuwa walikuwepo madikteta wakali akina Bokasa chiluba Abacha Gadafi Sadam Hussein Elbashiri Iddy Amin dada mabutu leo hii wapo wapi? hakuna mabaya yasiyo na mwisho, juzi juzi wamemnyamazisha mzee mkapa baada ya kuona atatoa siri za mikataba ya madini vipo vingi vinawatafuna CCM hakuna mabaya yasiyo na mwisho na mwisho wa ubaya ni Aibu kubwa
 
Hakuna kuwaacha mkuu ,tz nisehemu ya dunia, ukifanya yasiyo dunia haiwezi kuchekea ,eti nchi huru kwani kuwa huru ndo ufanye Mambo yasiyostahimilika alafu dunia ikuchekee.
Kumtoa Adolf Hitler wa Ujerumani dunia nzima ilibidi iungane katika kumpiga ingawa kwenye uchaguzi nchini mwake angeweza kushinda kwa asilimia 80% na zaidi.
 
My advice!!
It’s too late, you had a chance to advice magufuli to respect human rights and democracy but you didn’t!! Now just wait and enjoy the show

A lot is coming[emoji116]

View attachment 1590104
Kuna mazuri mengi ya Magufuli, na mabaya yake kiasi katika uongozi wake. Ila bahati mbaya kwa TL na vibaraka wake kuwa, uRais watausikia tu kwenye bomba.
 
Kumtoa Adolf Hitler wa Ujerumani dunia nzima ilibidi iungane katika kumpiga ingawa kwenye uchaguzi nchini mwake angeweza kushinda kwa asilimia 80% na zaidi.
Hata Sadam Hussein alikuwa akishinda chaguzi zote
 
Kuna mazuri mengi ya Magufuli, na mabaya yake kiasi katika uongozi wake. Ila bahati mbaya kwa TL na vibaraka wake kuwa, uRais watausikia tu kwenye bomba.
Mabaya ya mtukufu magufuli ni mengi kuliko mazuri kiduchu wewe ni mnufaika wa mfumo kandamizi wa kidikteta, umeshiriki kuwabambikia kesi kuwapiga risasi wapinzani lazima utetee ushetani wenu
 
Lissu na hizo risasi ndio zimemharibu kabisaaa akili yake hawazii kizazi kingine mbele kitaishije,anaona bora kuivuruga nchi, lakini pia ukimwangalia ni mtu aliyejikinai na kujidhili
 
Wanufaika wa mfumo kandamizi wa kidikteta wana wasiwasi mno maana wanajua pindi Lisu akiingia ikulu atakuja na katiba mpya ya haki na Sheria na ndipo akina polepole Bashiru Bashite mtukufu magufuli watakuwa wageni wa mahakama kila kukicha kwa kesi za kutumia madaraka yao vibaya
 
Mimi ni mtanzania halis, kwa ujinga unaofanywa na tume ya taifa ya uchaguzi wakishirikiana na jeshi La polis, vurugu tunazikaribisha wenyewe.Kwa mtazamo wangu wale wajumbe wa tume sio wazalendo kwa taifa letu.
Uenguaji wa wagombea wa upinzani hujuma katoka uchaguzi wa serikali za mitaa kafanya nani. Nakubaliana na wewe.

Sent from my Nokia 6.1 using JamiiForums mobile app
 
Kuna mazuri mengi ya Magufuli, na mabaya yake kiasi katika uongozi wake. Ila bahati mbaya kwa TL na vibaraka wake kuwa, uRais watausikia tu kwenye bomba.
Asante kwa kukiri kwamba magufuli ana mabaya.kwa watu wenye akili,hayo mabaya yake ilikuwa ni sababu tosha ya kumng'oa maana hayamo kwenye JD yake kama rais
 
Kwahiyo CV jamaa anaweza kuwa CIA,

Lisu kaingia kwenye mambo ambayo hayafahamu vyema.
 
Lissu na hizo risasi ndio zimemharibu kabisaaa akili yake hawazii kizazi kingine mbele kitaishije,anaona bora kuivuruga nchi, lakini pia ukimwangalia ni mtu aliyejikinai na kujidhili
Wewe mwenyewe ni mbumbumbu juha zuzu kilaza huna chembe ya Akili unawezaje kujua chochote juu ya Lisu? Mpaka ukiacha kuvuta Bangi gheto kwa cyprian Musiba ndipo utajua Lisu yupo vizuri kuliko ulivyokaririshwa na wanufaika wa mfumo kandamizi wa kidikteta
 
Hakuna mtu anayeweza leta machafuko Tanzania zaidi ya CCM.Kuminya Haki za watu kwani Robert Amsterdam anahusika?Wananchi wanataka kuchagua chama wanachohitaji unawaminya waje kwako,hapo nini unatafuta?Acheni proganda za kizamani!
 
Mbona hata mabaya huvumilika mzee! Yeye ni nani hata atende mazuri ya kumfurahisha kila mtu? Najua utakubaliana na ukweli kuwa, mabaya yake ni kama robo tu ya mazuri yake. Ni bora mara 100 kumpa aendelee kuliko kumpa huyo jamaa wa CDM. Maana ataharibu zaidi.
Asante kwa kukiri kwamba magufuli ana mabaya.kwa watu wenye akili,hayo mabaya yake ilikuwa ni sababu tosha ya kumng'oa maana hayamo kwenye JD yake kama rais
 
Acha hizo Lisu kaingia Ulingoni apambane kutikomeza udikiteta uchwara ushetani wenu wote
Pamoja na kujifanya mjanja lakini hatambui kuwa keshaingia mkataba na shetani .

CIA watamtafuna na kumsaga saga. Pole yake.
 
Mbona hata mabaya huvumilika mzee! Yeye ni nani hata atende mazuri ya kumfurahisha kila mtu? Najua utakubaliana na ukweli kuwa, mabaya yake ni kama robo tu ya mazuri yake. Ni bora mara 100 kumpa aendelee kuliko kumpa huyo jamaa wa CDM. Maana ataharibu zaidi.
Yaani unataka mtukufu aendelee kuwapiga risasi kuwabambikia kesi wapinzani na wafanyabiashara wakubwa? unataka trilion 1.5 ipigwe bure bila maswali? unataka ajenge uwanja wa Ndege kijijini kwao polepole kama alivyojenga ule wa chato Airport kienyeji pasipo idhini ya bunge? unataka aendelee kupiga 10% ununuzi wa Ndege kwa cash? wewe lazima ni mmojawapo wa wanufaika wa mfumo kandamizi wa kidikteta ndiyo maana umejitoa fahamu kiasi hicho
 
Mimi ni mtanzania halis, kwa ujinga unaofanywa na tume ya taifa ya uchaguzi wakishirikiana na jeshi La polis, vurugu tunazikaribisha wenyewe.Kwa mtazamo wangu wale wajumbe wa tume sio wazalendo kwa taifa letu.
Una habari kwamba hiyo tume Chadema walikuwepo na kukiri makosa? Wacheni majungu!
 
Back
Top Bottom