Wakili Robert Amsterdam ni nani?

Tayari mtukufu ameomba hifadhi Burundi juzi akiwa kigoma alimwalika Rais wa Burundi kuja pale apate kumuomba hifadhi kwani urafiki wake na kagame umechuja sana
Kagame hanaga urafiki na wapuuzi!!
 
Watanzania watumishi wa umma wameteseka sana wametaabika kwa kila idara huku akina Bashite polepole wakitajirika kwa kutumia fursa za mfumo kandamizi, hakuna Mtanzania mwenye Akili timamu ataipigia CCM kura
 
Wewe naye kutwa kucha unatuwekea haka kakipeperushi ka mabeberu unadhani ndio kanatutisha? tupa kureee
😂😂😂😂 kama hakakutishi si ukapotezee tu!! Wanaume they mean business mwaka huu.
 
Si mlikaa bungeni na kubana pua huku vidole juu mkisema nchi haitoki kwa makaratasi? Sasa mnaogopa machafuko wakati ndio mmetwambia njia pekee ya kuipata serikali? tulieni tulii....
 

Amsterdam anaongea ukweli mtupu na mimi pia ni diaspora kwa zaidi ya miaka 23
 
Mabaya unayavumilia kwa mkeo au mmeo huko nyumbani kwako ila kwenye ajira,hakuna mwajiri yeyote anayevumilia mfanyakazi anayefanya mabaya kinyume na JD yake.acha ujinga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…