Sasa huoni hapo ni kosa la mme wake?[emoji2][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] wanaume wapuuzi ndo hawathamini mama zao
Mwanaume anahonga range mama Ake anaishi kwenye makuti kijumba Cha udongo
Anahonga ifoni 14 mama Ake anaazima kiswaswadu Kwa jirani
Nikimaanisha kua mama Ako mpende ,mheshimu ndo mtu wa kweli kwakoSio Mimi lakin[emoji4]
Wanawake ni watu wanaopenda kushift blame hatari.lawama zinaenda kwa wanaume wakati wahusika wakuu ni wanawake kwenye hii ishu.Sasa nikuulize unapenda mtoto kama Hakimi au mume kama Hakimi?Nothing is Funny .Mwanamke mwenzangu Mungu atakusaidia
We usikaze kichwa kesi ya mgawanyo wa mali za mwanaume ameshinda huyo dada ila tatizo atapewa na dogo hana kitu? Sio kwamba amenyimwa la hasha, hamna kitu cha kupewa.kwa kuwa wanaachana na dogo hana kitu basi zitagawiwa mali za mwanamke. Umeelewa?Wakili si mwamuzi wa mwisho. Mwamuzi wa mwisho ni mahakama tu. So far tumekuwa tunasikia ghilba za mawakili tu
Utashangaa sasa mademu watakavyomgombania baada ya kumalizana na huyu mchawi.Anakoelekea huyu dogo atakosa demu
Acha ufala. Haki gani unayoongolea kwan ni nani aliyeomba talaka na kushinikiza , si ni yeye mke, na angeweza tu kuomba talaka na kupita hivi kosa alilofanya ni kufungua kesi ya madai ya mali baada ya talaka kukamilika.Lakini mbele ya Allah naona kama haki haikutendekea kabisa, ushindi ulikuwa ni technical tuu kutokana na ujanja ujanja wa Hakimi na mama yake, theres a pay back kwa vitu kama hivi
Wapi atamsaidia kwa mfano, au umesahau kuwa MUNGU ni mwanaume?! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nothing is Funny .Mwanamke mwenzangu Mungu atakusaidia
Anakaza fuvu kusudi tu uyo[emoji16]We usikaze kichwa kesi ya mgawanyo wa mali za mwanaume ameshinda huyo dada ila tatizo atapewa na dogo hana kitu? Sio kwamba amenyimwa la hasha, hamna kitu cha kupewa.kwa kuwa wanaachana na dogo hana kitu basi zitagawiwa mali za mwanamke. Umeelewa?
Kwa sababu amezaa naye, atie ubinadamu kidogo, Ashraf ana mpunga mrefu ampe mali kidogo kama nyumba na matumizi kidogo, mtoto akija kusikia umemfanyia mama yake wema atakuja kukuelewa sana
Lakini mbele ya Allah naona kama haki haikutendekea kabisa, ushindi ulikuwa ni technical tuu kutokana na ujanja ujanja wa Hakimi na mama yake, theres a pay back kwa vitu kama hivi
Hakimi anatoa fundisho hata wewe ulitakiwa uunge mkono kwa mazingira ya ulaya sheria umempa nguvu kubwa Sana mwanamke hasa kwenye masuala ya divorce na mgawanyo wa mali na bahati mbaya wanawake wengi wa uko wanatumia mianya hiyo kufanya utapeli wa ndoa na Wanaume wengi wameathirika Sana na hizo sheria wapo maarufu na ambao sio maarufu mfano Ebouer yeye alifilisiwa lila kitu na demu wa kizungu kupitia hizo hizo sheria bila ubinadamu kutumika mwanadada alichukua mpaka nyumba waliokuwa wanaishi pamoja. So Hakimi katoa fundisho na litawasaidia watu wengi kukomesha wadada matapeli wanaongia kwenye ndoa kwa lengo la kuvuna mali
DeepPond
Dr. Mariposa
Numbisa
To yeye
mzabzab
Nuzulati
binti kiziwi
Sijakataa ila sidhani kama ni kosa kumuonea huruma huyo mwanamke .
Kwan kesi imeisha??
kwa mtazamo wa kibongo sawa. Lakini unapaswa ujue kwambaWe usikaze kichwa kesi ya mgawanyo wa mali za mwanaume ameshinda huyo dada ila tatizo atapewa na dogo hana kitu? Sio kwamba amenyimwa la hasha, hamna kitu cha kupewa.kwa kuwa wanaachana na dogo hana kitu basi zitagawiwa mali za mwanamke. Umeelewa?
Leta source ya taarifa zako hapa hiyo kesi imeisha we endelea kukaza kichwa yani Ufaransa mtu asilipe kodi halafu aangaliwe tu si tungesikia kesi!kwa mtazamo wa kibongo sawa. Lakini unapaswa ujue kwamba
1 - katika nchi za magharibi, mtu anaweza akachagua kupitisha mshahara wake kwenye akaunti zaidi ya moja na bado ukawa wake. Hata Hakimi amepitisha 80% kwa akaunti ya mama na 20% akaunti yake.
2 - Katika nchi za magharibi income yo yote hulipiwa kodi. Ikiwa mama yake baada ya kupokea hiyo 80% ya mashahara wa mwanawe, hajailipia kodi, sheria haitambui kuwa ni pesa yake ni pesa ya aliyelipwa na ndiyo sababu huyo hakimi huacha 20% kwenye akaunti yake, inawezekana ni kwa ajili ya makato ya kodi. Hiyo 80% iliyo kwa akaunti ya mama yake ni yake.
3-Sheria za ndoa mara zote huangalia income ya mtu na si wapi ameweka pesa yake. Kama wamefunga ndoa na wakaishi kwa miaka miwili income ya hakimi aliyosaini akalipwa pasipo kujali aliitunza wapi ni "marital income'. Hata income ya mkewe katika kipindi cha ndoa ni marital income ya wote wawili-50%/50%.
4 - Anayepokea mshahara psg na anasaini kuwa amepokea ni Hakimi si mama yake hivyo ni income ya hakmi a marital income. Aliitunza wapi income hiyo sidhani kama sheria inaweza kujali hilo.
5-Elon musk, Bill Gate, Benzos wote wamewalipa wake zao, unadhani ni wajinga? Sheria ziliwabana kutokana na vipato vya.
6: Kama kuna prenup agreement inayozuia vipato vyao wakati wa ndoa visigawanywe sawa, hakimi atapona lakini kama hakuna haponi.
NB: Yote yaliyosemwa ni porojo za mawakili si uamuzi wa mahakama. Tusubiri uamuzi wa mahakama.