Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Wakili wa Serikali, Nassoro Katuga, kwa niaba ya upande wa Jamhuri katika kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, ameomba mahakama kuahirisha kwa mara nyingine usikilizwaji wa kesi hiyo.
Fuatilia hapa: Mwenendo wa Kesi ya Lissu (Uhaini) kuendelea leo Julai 30, 2025, afikisha siku 112 akiwa Gerezani
"Ulipeleka maombi Mahakama Kuu kwa ajili ya kulinda shahidi yaani Witness Protection Application, Mheshimiwa maombi haya 17059/2025 yalisikilizwa baada ya upande wa Jamhuri kupata wito tarehe 24 mwezi wa 7, 2025 baada ya kutusikiliza Mahakamani ikapanga tarehe 4 kwa ajili ya kutoa uamuzi."