Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Yawezekana wewe mgeni nchi hii.Ukute ni MAELEKEZO.
We bwege mfuate huyo mfu, tumechoka kumtaja marehemu kila sk. Laana ipi wakati Magu alitaka kumwua huyo mhaini? We ni mburukenge usiyejitambua.Laana ya Magufuli inaendelea mpaka huyu mlelewa Ubelgiji awaombe radhi watanzania
Muuaji mnaye hapo hapo Chadema Chaumma 🐼We bwege mfuate huyo mfu, tumechoka kumtaja marehemu kila sk. Laana ipi wakati Magu alitaka kumwua huyo mhaini? We ni mburukenge usiyejitambua.
Ukitoka Ungana na Fikra za Mwenye Kesi Mkuu... WAKILI HAJIRICHI LAKINI MASHAHIDI WAJIFICHEWakili wa Serikali, Nassoro Katuga, kwa niaba ya upande wa Jamhuri katika kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, ameomba mahakama kuahirisha kwa mara nyingine usikilizwaji wa kesi hiyo.
Fuatilia hapa: Mwenendo wa Kesi ya Lissu (Uhaini) kuendelea leo Julai 30, 2025, afikisha siku 112 akiwa Gerezani
Uko sahihi nimaelekezo kumuachia hadi uchaguzi upiteUkute ni MAELEKEZO.
Usimshuhudie jirani yako uongo.Najaribu kupitia Amri 10 za Mungu wa mbinguni