Ryan Holiday
JF-Expert Member
- Jul 25, 2018
- 3,499
- 5,956
wife anateteawa na husbound,Wakili wa Kimataifa, "Robert Amsterdam" amerusha mawe mawili gizani kwa kuisakama na kuiponda serikali ya CCM inayoongozwa na Raisi Samia Suluhu Hassan kwa ukandamizaji wa haki, sheria na uonevu kwa Raia wa Tanzania.View attachment 3372908
Kupitia ukurasa wake wa X Robert Amsterdam ametweet na kusema, "Tunampongeza @TunduALissu kwa jitihada zake za kujitetea binafsi, kwani ni wazi kuwa amenyimwa kwa njia isiyo halali haki ya kupata huduma ya kisheria kwa usiri na kwa mujibu wa sheria kutoka kwa wenzetu waliopo Tanzania. Tutaendelea kupigania haki yake, na haki za Watanzania, katika jukwaa la kimataifa." (Tarehe 16-June-25, 1:15 PM)
Leo tarehe, (17-June-2025), Robert Amsterdam ametweet tena na kusema, "Serikali ya Tanzania inajaribu kuficha ukweli, si tu kutoka kwa jumuiya ya kimataifa, bali pia kutoka kwa wananchi wake."
Huku akisisitiza kuwa juhudi zake katika uwanja wa kimataifa zitaendelea kama kawaida mpaka haki ya Raia Watanzania na Tundu Lissu zipatikane.
View attachment 3372922
Tutaendelea kusimama pamoja na @TunduALissu — si kwa sababu ya jina lake, bali kwa sababu anawakilisha sauti ya Watanzania wanaodai uwajibikaji, sheria, na demokrasia ya kweli.
#Haki #Sheria #TumeUhuru #KatibaMpya #Tanganyika
The rainbow nationWakili wa Kimataifa, "Robert Amsterdam" amerusha mawe mawili gizani kwa kuisakama na kuiponda serikali ya CCM inayoongozwa na Raisi Samia Suluhu Hassan kwa ukandamizaji wa haki, sheria na uonevu kwa Raia wa Tanzania.View attachment 3372908
Kupitia ukurasa wake wa X Robert Amsterdam ametweet na kusema, "Tunampongeza @TunduALissu kwa jitihada zake za kujitetea binafsi, kwani ni wazi kuwa amenyimwa kwa njia isiyo halali haki ya kupata huduma ya kisheria kwa usiri na kwa mujibu wa sheria kutoka kwa wenzetu waliopo Tanzania. Tutaendelea kupigania haki yake, na haki za Watanzania, katika jukwaa la kimataifa." (Tarehe 16-June-25, 1:15 PM)
Leo tarehe, (17-June-2025), Robert Amsterdam ametweet tena na kusema, "Serikali ya Tanzania inajaribu kuficha ukweli, si tu kutoka kwa jumuiya ya kimataifa, bali pia kutoka kwa wananchi wake."
Huku akisisitiza kuwa juhudi zake katika uwanja wa kimataifa zitaendelea kama kawaida mpaka haki ya Raia Watanzania na Tundu Lissu zipatikane.
View attachment 3372922
Tutaendelea kusimama pamoja na @TunduALissu — si kwa sababu ya jina lake, bali kwa sababu anawakilisha sauti ya Watanzania wanaodai uwajibikaji, sheria, na demokrasia ya kweli.
#Haki #Sheria #TumeUhuru #KatibaMpya #Tanganyika
🤣🤣🤣🤣Watamtuma Stephen Wassira amjibu 🤣
Mbona aibu naona mimi!wife anateteawa na husbound,
ilikua siri na hatimae mambo yanaanza kujionyesha wazi dah
Huyo atajibiwa na mashoga wenzakeWatamtuma Stephen Wassira amjibu 🤣
lowasa banaLissu ni Mandela wa Tanzania
wife anateteawa na husbound,
ilikua siri na hatimae mambo yanaanza kujionyesha wazi dah
for sure ni aibu sana gentleman kwa janadume kua katika jamii ya kupumuliwa kisogoni na janadume jingine. ni aibu, fedheha na kinyaa sana aiseee!Mbona aibu naona mimi!
Akili zenu zimeoza, mmeshakuwa blinded.
Jizimeni data hivyo hivyo, soon mtaanza kuelewa.
KivipLissu ni Mandela wa Tanzania
we utakuwa shoga , maana sio burewife anateteawa na husbound,
ilikua siri na hatimae mambo yanaanza kujionyesha wazi dah
relax gentleman,Aah unachokoza watu sasa haha
Shida inakuja wao wakitaja wife wa mahusband wanatekwa
Kwenu hakuna wazee ?Huyo atajibiwa na mashoga wenzake
unamkandamizia humo humo sio wife wa mtu wa ng'ambo gentlemanwe utakuwa shoga , maana sio bure
wife anateteawa na husbound,
ilikua siri na hatimae mambo yanaanza kujionyesha wazi dah
Mbona sindano zimeshaanza kuwaingia, acha dawa ianze kufanya kazi yake.relax gentleman,
taratibu mbivu na mbichi zinajidhihirisha automatically,