PreGE2025 Wakili wa Kimataifa Robert Amsterdam "Lissu hayupo peke yake – Dunia nzima Inatazama"

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
wife anateteawa na husbound,

ilikua siri na hatimae mambo yanaanza kujionyesha wazi dah
Mbona Lumumba wanakupumulia sana tu na hatusemi?
Umetepeta ukitaka kutoa hewa chafu zinatoka cheche za mavy
 
Mbona Lumumba wanakupumulia sana tu na hatusemi?
Umetepeta ukitaka kutoa hewa chafu zinatoka cheche za mavy
relax gentleman,
chukua hiyo kweli ya huyo mtetezi wa haki ya faragha bila kuwewewseka
 
Mbona sindano zimeshaanza kuwaingia, acha dawa ianze kufanya kazi yake.
Yes,
Robert Amsterdam hana uvumilivu wala subra, ataanza kuomba haki yake hadharani sasa na mambo yatakua hadharani sasa
 
Yes,
Robert Amsterdam hana uvumilivu wala subra, ataanza kuomba haki yake hadharani sasa na mambo yatakua hadharani sasa
Mkiendelea mtapigwa mapigo kumi kama Pharaoh. Ndipo akili zitawaka sawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…