Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mahakamani kesi ilishatupwa na mahakama bado kusema rasmi kama imeipokea tena kesi hiyo!! Hizi sarakasi ni aibu sana kwa Taifa letu!!! As it stands they are not CDM members unless the decision is overturned by court of which it has not up to now!View attachment 2271293
Wakili Edson Kilatu anayesimamia suala la Halima Mdee na wabunge wenzake 18 amenukuliwa akisema:
“Baada ya kesi ya wateja wangu Halima Mdee na wenzake kutupwa, tulirudi kufanya marekebisho, alfajiri ya jana (Juni 23, 2022) tukawasilisha nyaraka Mahakamani kwa njia ya mtandao, hivyo Spika asingeweza kutoa maamuzi ya kuwaondoa wateja wetu Bungeni huku kesi ikiwa Mahakamani."
Source: DarMpya
Mbona jambo lipo clear kuwa wamerekebisha makosa na kuwasilisha hivyo judge atatazama upya!
Ikifika 2025, Halima Mdee atakuwa amekaa bungeni kwa miaka 20; inatosha sana. Shida ni hao wenzake ambao ndio safari yao ya siasa inaanza
Mahakamani kesi ilishatupwa na mahakama bado kusema rasmi kama imeipokea tena kesi hiyo!! Hizi sarakasi ni aibu sana kwa Taifa letu!!! As it stands they are not CDM members unless the decision is overturned by court of which it has not up to now!
Kuna shida kidogo hapa! Jaji anatakiwa kutoa amei mpya kuwa akina Mdee waendelee kukaa mpaka atakapotoa uamuzi mwingine. Kufungua kesi tu hakuwapi haki akina Mdee wala anayeshitakiwa.
Ningependa kusikia wamefungua kesi mpya kwa hati ya dharura na Jaji kaweka zuio jipya!!
Kufunguliwa kwa kesi haiwezi kuwa ni advantage kwa mshitaki. Uamuzi wa mahakama ndio hutoa advantage! Bado tuna safari kubwa sana kwenye swala la haki!!
Mazezeta ya faru John mnahamgaika sana.Aliyewaingiza bungeni ndio atakayewatoa. Kama aliweza kumtoa mtu jela usiku na asubuhi akawa mbunge. Hata huyo wakili ni vile njaa inamsumbua, ukiwa mtu wa principles hupaswi kujiingiza kwenye vikesi vya kukuharibia cv.
View attachment 2271293
Wakili Edson Kilatu anayesimamia suala la Halima Mdee na wabunge wenzake 18 amenukuliwa akisema:
“Baada ya kesi ya wateja wangu Halima Mdee na wenzake kutupwa, tulirudi kufanya marekebisho, alfajiri ya jana (Juni 23, 2022) tukawasilisha nyaraka Mahakamani kwa njia ya mtandao, hivyo Spika asingeweza kutoa maamuzi ya kuwaondoa wateja wetu Bungeni huku kesi ikiwa Mahakamani."
Source: DarMpya
Nadhani heshima yao imepada kutokana na kibri walichokionesha bwasheeHeshima yao imeshuka sana.
Unateseka sanaShida soon kufungua kesi. Unafungua kesi kuomba urudishiwe uanachama, halafu Happ happy unadai wewe bado ni mwancha wa Chadema. Kama haki ingetendeka akina Halima Mdee wangefungua kesi wakiwa sio wanchama wakisuburi maamuzi ya mahakama kuhusu uanachama wao.
CHADEMA haimtaki, labda aende CCMKumbuka, kimsingi, yeye ni career politician. Umewahi kuona wapi career politician akistaafu at the age of 47?
Nisaidiye kuelewa dj ni nani na chanzo cha neno hilo nini?🤓 DJ ana zungusha CD anavyotaka.
Sio kweli,itakuwa 15!
Kumbe nchi hii ina mawakili wazuri tu na hawana kelele..😄
Kumbe alianzia viti maalumu?Sikuwa na kumbukumbu na hilo
Mbona jambo lipo clear kuwa wamerekebisha makosa na kuwasilisha hivyo judge atatazama upya!
Sasa kwani chadema hawajawai kukosea pamoja na kuwa na mawakili wengi wanaosemwa ni wenye uwezo?