Wakili wa kina Halima Mdee aelezea kwanini Spika hajawaondoa Bungeni Wabunge hao wa Viti Maalum

Wakili wa kina Halima Mdee aelezea kwanini Spika hajawaondoa Bungeni Wabunge hao wa Viti Maalum

Tulia.. safari bado mbichi

Safari imeisha. Sema nchi yetu inapofika suala la chadena huwa tunapindisha sheria. Yani kwa Chadema sheria za nchi huwa hazifanyi kazi , umefukuzwa uanachama lakini eti uanachama unaendelea kisa umefungua kesi mahakamani kuomba uanachama wako usifutwe.
 
Hakuna wezi wabaya na wahujumu uchumi kama akina Halima Mdee
Serikali inatuibiwa waziwazi inakipa watu mishahara na posho wasio na sifa ya kuwepo bungeni at the same time Kuna watanzania wanakosa huduma za afya wanakufa
 
Tangu lini mahakama imekuwa na jukumu la kuutangazia umma kila inapopokea kesi mpya?

Lazima tangazo litolewe kwenye umma wa Tanzania , nenda kwenye website ya mahamakama . Kwa Sasa umma waweza kupata taarifa ya kesi iliyofunguliwa kwenye mtandao.
 
Unachoongea ni sahihi kabisa. Hivyo, sidhani kama watakuwa wameacha kuomba stay order nyingine; they’re smart enough to know the importance of that!

Kuomba stay hakukufanyi kuwa mwanachama mpaka order itoke. Sasa order haijatoka uhalali wa wao kuwa wanachama wanaupata wapi?.
 
Nadhani heshima yao imepada kutokana na kibri walichokionesha bwashee

Heshima ya kibri Cha kuambiwa umejinyea halafu unagoma kutawaza. Halafu Halima was Sasa hivi utamlinganisha na Halima wa miaka kumi iliyopita kabla hajarubuniwa.
 
Heshima ya kibri Cha kuambiwa umejinyea halafu unagoma kutawaza. Halafu Halima was Sasa hivi utamlinganisha na Halima wa miaka kumi iliyopita kabla hajarubuniwa.
Huwa sijuibu wapuuzi
 
Hivi kesi kama hii ya hao waheshimiwa wabunge 19, huyo Wakili anayeisimamia inamuongezea CV kweli? I doubt it, unaweza kutoa kama reference late on!
 
Haa,,wakili ametisha sana kaamka nao alfajiri kabla spika ajaamka[emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom