Tulia.. safari bado mbichi
Shida ni Zile Safari zisizoisha.....Kutwa Kiguu na njia IKULU!
Tangu lini mahakama imekuwa na jukumu la kuutangazia umma kila inapopokea kesi mpya?
Unachoongea ni sahihi kabisa. Hivyo, sidhani kama watakuwa wameacha kuomba stay order nyingine; they’re smart enough to know the importance of that!
Nadhani heshima yao imepada kutokana na kibri walichokionesha bwashee
Unateseka sana
Huwa sijuibu wapuuziHeshima ya kibri Cha kuambiwa umejinyea halafu unagoma kutawaza. Halafu Halima was Sasa hivi utamlinganisha na Halima wa miaka kumi iliyopita kabla hajarubuniwa.