Elections 2010 Wakili wa mdai wa Dr. Slaa ni mgombea udiwani wa CCM!

Elections 2010 Wakili wa mdai wa Dr. Slaa ni mgombea udiwani wa CCM!

Inavyoelekea Josephine hamtaki tena huyo jamaa.

La muhimu kama walioana kisheria je waliachana kisheria ??? Je taratibu za kukimbia na sababu aliziripoti ,kuna hati zinazoonyesha kulikuwa na matatizo kati yake na mumewe ,aliwahi kuyaripoti iliamuliwaje huko alikoripoti ?? Hakuna hata moja kati ya hilo ,mke na aliemchukua mke wote watakuwa wamefanya au wamemfanyia uhuni huyo masikini wa Mungu , ila sasa kama jamaa ameamua kuamka na baada ya kumjua mbaya wake ,kila kitu kitakuwa shwari hapo sheria zitakapochukua mkondo wake ,ninachowaomba msiwe mnamtetea Slaa tu bali muwe mnatoa maauzi yenye kutoa haki kwa wote wawili au watatu ,kisheria ,bila ya upendeleo ,yaani hapa hapa JF tunaweza kujua ni nani mwenye makosa ambae hukumu itabidi itwalishwe juu yake ,hapa hapa JF ,tuache tabia ya CCM kulindana kwa kuwa tu ni mwenzetu na kumnyonga mnyonge asiestahili :mad2:
 
Inavyoelekea Josephine hamtaki tena huyo jamaa.

Siyo tu kwamba Josephine hamtaki, bali pia huyo jamaa ana matatizo mengine ya ziada. Ukisoma maelezo yake yaliyoandikwa kwenye gazeti la HabariLeo kuna kasoro kibao ambazo zinaacha maswali mengi:

1. Mwanamke aliondoka nyumbani, na kaondoka muda mrefu na alimuaga kabisa kwamba nakuachia kibanda chako nakwenda kwenye nyumba.

2. Josephine aliondoka na wanae, ajabu ni kwamba jamaa alikuwa hajui hata hao wanae wanaishi wapi, wanakula nini na maisha yao kwa ujumla yakoje.

3. Alikaa muda mrefu bila kuonana wanae, mwanaume ambaye yuko responsible sidhani kama anaweza kukubali "mke" aondoke na watoto na asijue hiyo familia inaenda kuishi wapi na itaishi vipi.

4. Kuna sehemu anasema mtoto alimpigia simu akiwa analia anataka kuondoka huko alikokuwa akiishi na mama yake, kama kweli jamaa yuko responsible, ilikuwaje asiende kumchukua mwanae kesho yake? Mpaka leo watoto bado wanaishi na mama yao.

Kwa ujumla jamaa anajidhalilisha mwenyewe na kujionyesha jinsi alivyo irresponsible.
 
Huyu jamaa naye anatumiwa tu kisiasa. Ndiyo maana nasema hii ni frivolous lawsuit. Muda wote huo alikuwa wapi kufungua hayo mashitaka? Ina maana kajua wiki chache tu zilizopita baada ya Slaa kuteuliwa na CHADEMA kugombea uraisi? Timing yake mbaya na inanuka siasa za personal destruction. Hata kama ana hoja na sababu nzuri lakini huwezi ukaondoa shaka la kutumiwa na wapinzani wa Slaa.

Halafu wakili wake ni mwana CCM mgombea udiwani. Hahahahaa....naona kuna kosa la miiko flani flani hapo.
 
Tamko kama hizi ni udhalilishaji wa wanawake na pia ni kudanganya umma kwani ni kitu ambacho hakiwezekani.

Wale wakina mama wa TAMWA na wengine wanapaswa wamshikilie bango huyu! Anataka kusema kina mama wanamilikiwa kama kuku, kama simu ambayo unaweza ukaporwa na kijana barabarani na usimfahamu hadi aje akutajie mwenyewe hii simu yangu ni nzuri, hebu iangalie! Pooooooooooooh
 
Mtasema sana ,jamaa amepata ushahidi kabisa wa mtu kujitambulisha mbele ya waTanzania ,halafu inajulikana kuwa uliesema ni mchumba ni mke wa mtu na anawatoto ,aloo ama kweli siku za mwizi ni arobaini ,Slaa kwisha na kwa kweli inabidi ajiuzulu kugombea uraisi kwa haraka sana sio kwamba nachomekea lakini huu ndio uungwana ,inapotokea mbinde kufikia stage hii na wewe ni mtu unaegombea nafasi nyeti ,basi hutakiwi kungojea msukumo wa akina Mwiba ,ni kujiuzulu nyadhifa zote ,mnajua kuwa kuna watu wanajiuzulu hata kama jambo sio kweli ? Amesemwa tu kiubaya basi anabwaga manyanga ,je hili la Slaa ambalo lipo hadharani mchana kweupe ?
 
La muhimu kama walioana kisheria je waliachana kisheria ??? Je taratibu za kukimbia na sababu aliziripoti ,kuna hati zinazoonyesha kulikuwa na matatizo kati yake na mumewe ,aliwahi kuyaripoti iliamuliwaje huko alikoripoti ?? Hakuna hata moja kati ya hilo ,mke na aliemchukua mke wote watakuwa wamefanya au wamemfanyia uhuni huyo masikini wa Mungu , ila sasa kama jamaa ameamua kuamka na baada ya kumjua mbaya wake ,kila kitu kitakuwa shwari hapo sheria zitakapochukua mkondo wake ,ninachowaomba msiwe mnamtetea Slaa tu bali muwe mnatoa maauzi yenye kutoa haki kwa wote wawili au watatu ,kisheria ,bila ya upendeleo ,yaani hapa hapa JF tunaweza kujua ni nani mwenye makosa ambae hukumu itabidi itwalishwe juu yake ,hapa hapa JF ,tuache tabia ya CCM kulindana kwa kuwa tu ni mwenzetu na kumnyonga mnyonge asiestahili :mad2:

Mkuu Mwiba,

Nani anatakiwa ku-report? Aliyekimbia au aliyekimbiwa? Kiutaratibu mume huwa anakabidhiwa mke au mke anakabidhiwa mume? Swali, je baada ya mkewe kuondoka nyumbani, huyo jamaa alifanya nini? Ali-report polisi? Alitoa taarifa kwa wazazi wa mkewe? Baada ya hapo alifanya nini? Ni nani anatakiwa ku-initiate process, mke au mume?

Mwanamke angetakiwa kutoa taarifa polisi iwapo angekuwa alipigwa na mumewe, lakini kama aliondoka tu bila ugomvi wowote, mwenye full responsibility ya ku-report kupotea kwa mkewe na wanae ni mwanaume maana ndiye aliyekabidhiwa mke.

Ninakubaliana na wewe kwamba sheria zitachukua mkondo wake, lakini naomba nikuhakikishie kwamba huyo jamaa yako atadhalilika zaidi na hayo madai ya bilioni moja yataishia hewani, ngoja tusubiri hiyo kesi itakapoanza kusikilizwa ili tujionee vimbwanga.

Ajabu ni kwamba siku anaongea na HabariLeo, mwandishi alimuuliza je ana mpango wa kwenda mahakamani? Akasema hana mpango huo. Ndio maana kuna watu wanasema jamaa anatumiwa na wana siasa. Ukishaingia kwenye siasa, akili huwa inasahau taaluma kwa muda, ndo maana hata wakili mwenyewe wanasema anagombea udiwani.

Kwangu mimi naona kesi imefunguliwa strategically kwa ajili ya uchaguzi tu na haitafika kokote. Uchaguzi ukipita na kesi hutakuja kuisikia tena.
 
Mheshiwa Keil ,kwa hali yeyote ile Slaa inabidi ajiuzulu ,weka mbali hiyo kesi kushtakiwa au kutoshtakiwa, hapa inaonekana kuwa Slaa akitembea na mke wa mtu ,iwe wao wameachana au hawakuachana ila inavyoonyesha hapa wamekimbiana hawakuachana.

Uungwana ni vitendo ,na zaidi hapa pameshaingia doa kwa mgombea Uraisi anatembea na wake za watu ,hilo sio jambo dogo ,iwe kweli au sio kweli ,Slaa ameonekana akimnadi huyo mke wa mtu ,ambae ana watoto wawili ,hili sio jambo la kulifanyia mchezo kwa kuwa tu ni Slaa mgombea wa Chama changu Chadema ,halikubaliki kabisa kabisa ,ni lazima waChadema mkubali ukweli kuwa jambo hili halikubaliki katika jamii na ndani ya Chama ,mnataka kutwambia kuwa hili jambo mnaliruhusu ?????:confused2:
 
Mwiba mbona Kagoda, Deep Green, Mwananchi Gold refinary, Maremeta hawajajiuzuru nyadhifa zao?:glasses-nerdy:
 
Tatizo lako Mwiba ni kuwa umejisahau na badala ya kuziba Pamba masikioni, ukaziba Mwiba.

Sasa Ngoma ya Sikio imetobolewa na Mwiba. Ingawa huna Pamba masikioni, Husikii Mu-Ajemi weee!!!!

Haya tusubiri Mahakamani na Wakili mwenyewe mgombea wa Udiwani wa CCM.

Ingelikuwa mie huyu Josephine ni dada yangu na mume mwenyewe ni mjinga kiasi hiki basi tungelisema jamaa alikuwa akivichezea vitoto vyake mchezo mbaya................ dada akakimbia na watoto.
 
Si ndio nyinyi Wakristo munaosema ndoa hazivunjwi? Leo tena mambo yamekuwa vipi? Au mkuki kwa nguruwe lakini kwa binaadamu huwa mchungu?

Mimi nauliza tu jamani!!!!!!!!!!!!!

BitiMkongwe,

Maandiko matakatifu ndo yanasema hivyo kwamba kilichounganishwa na Mungu, binadam hawezi kukitenganisha. Lakini katika uhalisia wa mambo kuna ndoa nyingi sana za kikristo ambazo zimevunjwa au zimevunjika. Maandiko matakatifu pia yana vipengele ambavyo vinaelezea sababu ambazo zinaweza kufanya ndoa ivunjwe/ivunjike.

Bottom line ni kwamba hata kwenye ukristo bado ndoa inaweza kuvunjwa na sababu ziko kwenye maandiko yao.

Na mimi nimesema tu jamani!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Mheshiwa Keil ,kwa hali yeyote ile Slaa inabidi ajiuzulu ,weka mbali hiyo kesi kushtakiwa au kutoshtakiwa, hapa inaonekana kuwa Slaa akitembea na mke wa mtu ,iwe wao wameachana au hawakuachana ila inavyoonyesha hapa wamekimbiana hawakuachana.​

Uungwana ni vitendo ,na zaidi hapa pameshaingia doa kwa mgombea Uraisi anatembea na wake za watu ,hilo sio jambo dogo ,iwe kweli au sio kweli ,Slaa ameonekana akimnadi huyo mke wa mtu ,ambae ana watoto wawili ,hili sio jambo la kulifanyia mchezo kwa kuwa tu ni Slaa mgombea wa Chama changu Chadema ,halikubaliki kabisa kabisa ,ni lazima waChadema mkubali ukweli kuwa jambo hili halikubaliki katika jamii na ndani ya Chama ,mnataka kutwambia kuwa hili jambo mnaliruhusu ?????:confused2:​
Acha mahakama itoe hukumu yake wewe una base kwenye habari ya upande mmoja hujui huyo mwanamke aliondoka kwa sababu gani, unatoa judgement kisiasa na si kitaaluma.
 
Mwiba mbona Kagoda, Deep Green, Mwananchi Gold refinary, Maremeta hawajajiuzuru nyadhifa zao?:glasses-nerdy:
Unamaanisha tufanye vile wafanyavyo ????

Haya mambo mazito sio mnayachukulia kimchezo mchezo ,hii ni siriyaz game , 1billioni !!!

7th September 2010
TANZANIA Ports Authority (TPA) employee, Mr Aminiel Chediel Mahimbo filed a suit at the High Court on Tuesday against Chadema's presidential candidate, Dr Wilbrod Slaa demanding 1bn/- as damages for allegedly engaging in an adulterous association with the plaintiff's wife. .....

Mr Mabere Marando told a press conference in Dar es Salaam yesterday that Dr Slaa's court issue was personal and should be left to the parties involved.
"I am glad to hear that Mr Mahimbo has filed a case in court. I advise his lawyer to serve me with a summon of the case so that we can respond to the allegations accordingly, " added Mr Marando.

6th September 2010

"We are having all relevant documents including marriage and children's birth certificates, as well as wedding photos to prove our case," Mr Kitururu said.

There are also newspapers cuttings quoting Dr Slaa as saying that Josephine is his wife," the advocate said. He further said the court would determine the final amount of compensation. "It may increase or decrease what we are demanding from Dr Slaa and Josephine," he added.

Mr Kitururu dismissed as baseless claims that he was being used by some politicians including CCM officials to frustrate Dr Slaa in his presidential campaign. He said his client had long ago planned to go to court.

"This is just a coincidence," he noted. Dr Slaa, however, told the 'Daily News' that he was not losing his sleep on such baseless negative and mud-smearing campaigns against him.
 
Mheshiwa Keil ,kwa hali yeyote ile Slaa inabidi ajiuzulu ,weka mbali hiyo kesi kushtakiwa au kutoshtakiwa, hapa inaonekana kuwa Slaa akitembea na mke wa mtu ,iwe wao wameachana au hawakuachana ila inavyoonyesha hapa wamekimbiana hawakuachana.

Uungwana ni vitendo ,na zaidi hapa pameshaingia doa kwa mgombea Uraisi anatembea na wake za watu ,hilo sio jambo dogo ,iwe kweli au sio kweli ,Slaa ameonekana akimnadi huyo mke wa mtu ,ambae ana watoto wawili ,hili sio jambo la kulifanyia mchezo kwa kuwa tu ni Slaa mgombea wa Chama changu Chadema ,halikubaliki kabisa kabisa ,ni lazima waChadema mkubali ukweli kuwa jambo hili halikubaliki katika jamii na ndani ya Chama ,mnataka kutwambia kuwa hili jambo mnaliruhusu ?????:confused2:

Mkuu Mwiba,

Dr Slaa hawezi kujiuzulu kwa kuwa sijaona kosa lake mpaka sasa. Hivi Mkuu Mwiba ukikutana na mwanamke akakuvutia, si unamuuliza kama ana mtu au la? Akisema alishawahi kuolewa na kwamba alishaachika utataka nini zaidi? Au mwanamke akishakuwa na watoto na akaachika anatakiwa asiolewe tena? Kisa? Maalim hapo sikubaliani na wewe, wacha tuiachie Mahakama ifanye kazi yake. Uzuri wa kesi yenyewe siyo criminal, kwa hiyo haiondoi sifa ya Dr. Slaa kuwa mgombea.
 
Si ndio nyinyi Wakristo munaosema ndoa hazivunjwi? Leo tena mambo yamekuwa vipi? Au mkuki kwa nguruwe lakini kwa binaadamu huwa mchungu?

Mimi nauliza tu jamani!!!!!!!!!!!!!

Umeanza malumbano ya kidini!
 
Baada ya Dr Slaa kuapishwa kuwa Rais, Vichwa vya habari vya magazeti uchwara yaliyokuwa yanashaabikia maswala binafsi ya (Rais Dr. Slaa) vitakuwa hivi.... "KISA CHA MUME ***** NA CCM"; "TAMWA KUMSHITAKI MUME ALIYETELEKEZA WATOTO", "MUME FEKI WA JOSEPHINA AJINYONGA", "SAKATA LA CCM NA MUME JINGA LAINGIA SURA NYINGINE",..nk.
 
siasa chafu za maji mataka ya ccm, wamekosa hoja wamekimbilia mambo ya wanawake ama kweli chama hiki kikongwe kinaelekea kaburini kwa speed ya kutisha.
 
Je wajua kwamba wakili A.Kitururu anaye mtetea Mporwa mke wa Dr Slaa ni mgombea udiwani wa CCM kata ya ubungo.Je CCM mnataka wananchi wajifunze nini?.

Na waliomsindikiza kwenye pres conference yake wote wapambe wa Makamba....hivi tingatinga lilipopora yule Mama mbona CCM hawakumsaidia mumewe?
 
Unamaanisha tufanye vile wafanyavyo ????

Haya mambo mazito sio mnayachukulia kimchezo mchezo ,hii ni siriyaz game , 1billioni !!!

7th September 2010
TANZANIA Ports Authority (TPA) employee, Mr Aminiel Chediel Mahimbo filed a suit at the High Court on Tuesday against Chadema's presidential candidate, Dr Wilbrod Slaa demanding 1bn/- as damages for allegedly engaging in an adulterous association with the plaintiff's wife. .....

Mr Mabere Marando told a press conference in Dar es Salaam yesterday that Dr Slaa's court issue was personal and should be left to the parties involved.
"I am glad to hear that Mr Mahimbo has filed a case in court. I advise his lawyer to serve me with a summon of the case so that we can respond to the allegations accordingly, " added Mr Marando.

6th September 2010

"We are having all relevant documents including marriage and children's birth certificates, as well as wedding photos to prove our case," Mr Kitururu said.

There are also newspapers cuttings quoting Dr Slaa as saying that Josephine is his wife," the advocate said. He further said the court would determine the final amount of compensation. "It may increase or decrease what we are demanding from Dr Slaa and Josephine," he added.

Mr Kitururu dismissed as baseless claims that he was being used by some politicians including CCM officials to frustrate Dr Slaa in his presidential campaign. He said his client had long ago planned to go to court.

"This is just a coincidence," he noted. Dr Slaa, however, told the 'Daily News' that he was not losing his sleep on such baseless negative and mud-smearing campaigns against him.

r u serious? ivi wewe kweli unapigia kura ccm? ivi kweli wewe unapigia mtu mwenye kifafa kura?hahahaha...ivi kweli unaamini haya malalamiko? Kosa la kuiba mke ni kosa gani hilo? sijawahi kusikia!
 
Si ndio nyinyi Wakristo munaosema ndoa hazivunjwi? Leo tena mambo yamekuwa vipi? Au mkuki kwa nguruwe lakini kwa binaadamu huwa mchungu?

Mimi nauliza tu jamani!!!!!!!!!!!!!

Mama,
Nani kasema ukristo hapa?.......watu wanongea generally bila kusema mambo ya dini....mke au mume ni watu wazima na wana uhuru wa kuamua mambo yao binafsi...wewe mumeo akitoweka miaka mitatu utasema ni ndoa hiyo?
 
Back
Top Bottom