Ubungoubungo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2008
- 2,502
- 741
ni ndugu yangu.
RIP WAMBARI.
RIP WAMBARI.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Serikali inashindwa kesi nyingi sana na tunapoteza fedha nyingi kama taifa, huyu marehemu amewahi kusimamia serikali kwenye kesi yoyote akashinda!!?
Nitamtakia RIP au RIA baada ya jibu.
Braza / sister kuna wakati unahitaji kujipima uwezo wako wa kufikiri,Serikali inashindwa kesi nyingi sana na tunapoteza fedha nyingi kama taifa, huyu marehemu amewahi kusimamia serikali kwenye kesi yoyote akashinda!!?
Nitamtakia RIP au RIA baada ya jibu.
Ukishajua halafu? Is it mandatory to comment? Kwa nini usianzishe uzi kuhusiana na serekali kushindwa kesi? R..P Wambali.
Kwa hiyo siyo wakili, na kumuandika mtu cheo chake ni kumkweza halafu Umeona lakini aliyepost niani mpak unaniamia nimekweza???? ? Kwani kuna ubaya gani mtu kutajwa kwa cheo chake. Akitajwa Dr. Utaanza uluza alitibu wangapi wakapona na wangapi wakafariki? Au walimu ulifundisha wangapi wakauu na wangapi wakafeli? Kuhusu hilo tatizo la kushidwa kesi linafikaje hapa. Nawe kama mwana JF unahaki ya kuanzisha Thread kuhusu tatizo hili sio ungojhee mtu afariki ndio uunganishe!Umemkweza marehemu kwa cv ya uwakili wa serikali, nami nimehoji ufanisi kwenye hicho ulichokusudia kukitumia kuomba huruma yetu, usiweweseke! Kwa maana ya uwakili tutajie kesi aliyowahi kutetea serikali ikashinda.
Laiti ungemtaja kwa jina tu kuwa amefikwa na umauti baada ya kupata ajali ya gari habari ya uwakili isingejitokeza. Haya sema sasa alishinda ama daily kushindwa!!!
Nitamuombea a RIP au a RIA mkinijibu.
Braza / sister kuna wakati unahitaji kujipima uwezo wako wa kufikiri,
Kwa hiyo siyo wakili, na kumuandika mtu cheo chake ni kumkweza halafu Umeona lakini aliyepost niani mpak unaniamia nimekweza???? ? Kwani kuna ubaya gani mtu kutajwa kwa cheo chake. Akitajwa Dr. Utaanza uluza alitibu wangapi wakapona na wangapi wakafariki? Au walimu ulifundisha wangapi wakauu na wangapi wakafeli? Kuhusu hilo tatizo la kushidwa kesi linafikaje hapa. Nawe kama mwana JF unahaki ya kuanzisha Thread kuhusu tatizo hili sio ungojhee mtu afariki ndio uunganishe!
Unataka upeleke nuksi mazikoni?Tafuta utujuze atumishi wake, tujipange kuhudhuria mazikoni, mtuambie mapema kama na yeye aliacha wosia kama wa komba kuwa azikwe na mabuldoza tusije.
Mwili umenisisimuka sana, ni mtu ninayemfamu na hakuwa na makuu, kaka yake ni Jaji Wambali. Poleni sana wafiwa.alikuwa akifanyia Dodoma. kwa wewe unayesema kama alishinda kesi au la, kifupi ni kwamba amekuwa wakili wa serikali kwa miaka zaidi ya saba. na kesi hizo mnazosikia kwenye magazeti ni chache sana ambazo ndio zenye msisimko sana. ila kila siku mahakama huwa zinaendelea na zinaendesha kesi maelfu kwa maelfu. hapo sasa utajijibu mwenyewe kama alishinda au la, ila alikuwa senior state attorney tayari.
mawakili wa serikali wanavumilia sana maisha, pamoja na kwamba serikali haiwajali. ndio maana wengi wanaacha kazi na kuwa mawakili wa kujitegemea. kumpoteza wakili mmoja wakati kuwapata ni shida ni hasara kubwa. zaidi ya yote alikuwa mtu wetu wa karibu sana na tumesoma naye. ni majonzi mazito kwa kweli. ajali hizi jamani zinatisha sasa.
Umemkweza marehemu kwa cv ya uwakili wa serikali, nami nimehoji ufanisi kwenye hicho ulichokusudia kukitumia kuomba huruma yetu, usiweweseke! Kwa maana ya uwakili tutajie kesi aliyowahi kutetea serikali ikashinda.
Laiti ungemtaja kwa jina tu kuwa amefikwa na umauti baada ya kupata ajali ya gari habari ya uwakili isingejitokeza. Haya sema sasa alishinda ama daily kushindwa!!!
Nitamuombea a RIP au a RIA mkinijibu.