Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Braza / sister kuna wakati unahitaji kujipima uwezo wako wa kufikiri,
Kunitaka nikue wakati mimi ni mkubwa huo ndio upumbavu!!!!, Lissu anasifiwa kwa uwakili wake unaojieleza, Marando, Lamwai n.k huyu ndugu yetu tuambieni utumishi wake uliotukuka nasi tushadadie "wakili msomi" kama wanavyomwitaga msando.
Nenda milembe wewe!!,hapa upo kimakosa sawa!
Unaonekana umekua kimwili tu. Ingekuwa akili zako ziko matured usingeandika ----- unaondika f-a-l-a wewe. Wewe unasifiwa kwanini kwenye jamii yako?Kunitaka nikue wakati mimi ni mkubwa huo ndio upumbavu!!!!, Lissu anasifiwa kwa uwakili wake unaojieleza, Marando, Lamwai n.k huyu ndugu yetu tuambieni utumishi wake uliotukuka nasi tushadadie "wakili msomi" kama wanavyomwitaga msando.
bwanamdogo, kufiwa afiwe mwenzio tu, yaani sikia kwa mwenzio tu, ukifiwa wewe inauma sana sana. hata haya maneno usingekuwa na uwezo wa kuyatoa, unayatoa kwasababu haujafiwa wewe. Mungu akubariki.Kama hii taarifa iliwahusu baadhi ya watu jamani si mngewatumia kwa whatsapp tu!!
Mimi hakuna wakili wa serikali nimewahi kusikia kashinda kesi, tunawalipa mishahara ya bure.
Otherwise niambieni nani kashinda kesi??
Wakili wa serikali sio hata cheo . . . . .kumkweza mtu maana yake nini haswa??!!!
Uwakili wa serikali sio CV. . . .
Huruma yako we nani. . . . Juu ya nini ambacho sie tuliofiwa tutashindwa kukifanya kwa umoja wetu???!!!
Jina tu peke yake God wako wangapi??!! Wambari wako wangapi, narrowing down the identification ikawekwa "wakili wa serikali" kuondoa wengine wenye majina labda kama hayo! !!!
Roho imekuuma sana kutajwa kazi yake. . . . . ."askari wawili wameuwawa kongowe" kaulize wamekamata wahalifu wangapi na mengineyo!!!!???
Wewe ndio unaweweseka mkuu, jogi kama kweli unataka records zake za kesi mi ntakugharamia kila kitu uende Dodoma ntakupa na mwenyeji soon after easter utapata data yako unayohitaji kuhusu marehemu!!!
RIP kaka Wambari
Saa tisa usiku! Hata gari lililomgonga halijulikani. RIPKwa wale waliosoma Jitegemee, kwa mawakili wa serikali wote, wafanyakazi wa mahakama na wananchi wanaomfahamu huyu wakili wa serikali ni kwamba amepata ajali na hatunaye tena.
Inasemekana alikuwa anaendesha saa tisa usiku wa kuamkia leo, kuna lori likamgonga na halikusimama, asubuhi watu wanaangalia kwenye gari iliyopata ajali wanaona kuna mtu ndani hajafa, kumpeleka hospitali ndio akafia hospital.
Alikuwa anafanyia kituo cha Dodoma.
RIP WAMBARI.
Ni kweli lakini pia kuna matendo huwa yanakaribisha vifo.kuna wakaka kama wawili kila mmoja kwa siku yake walipata ajali wakiwa wamelewa ,njiani wanarudi majumbani mwao usiku wa manane.Sijamsemea Godfrey ila nilitaka kuwakumbusha tu wakaka walio hai.dadangu, basi tu, ajali huwa haipigi hodi. kuna wengine wanarudi home saa kumi na mbili jioni kila siku lakini wanapata ajali vilevile, na hakuna anayeweza kujua kuwa sasa naenda kupata ajali, ingekuwa hivyo angeahirisha safari, tatizo mbele giza, Mungu ndio anajua kitakachotokea mbele yako, si kwa uweza wetu dada. ukiwa hai shukuru Mungu tu, tunasavaivu kwa neema, bila neema kuna majanga mengi yametuzunguka wala tusingekatisha hata dakika.
Mkuu OLESAIDIMU, nikupe pole, nasema pole sana kwa usumbufu ulioupata kutokana na post zangu, ukiirejea katiba ya nchi yetu tunayoitumia kipo kifungu kinaelekeza kulinda na kuendeleza mila na tamaduni zetu.
Haya makabila yanautani, ambao ni desturi katika mila za makabila husika, Nimelazimika kukutegulia kakitendawili haka maana maneno yangu ilikuwa na bado lengo lake ni kukupunguzieni fikra za moja kwa moja kuhuau pengo mlilolipata kwa kuondokewa na mpendwa ndugu yenu, fikra ambazo zikiachwa ku build up zinaweza kusababisha kiharusi kwa baadhi ya wanandugu.
Usini charactarize kuwa mimi ni mnyama ingawa ni kweli mimi ni mnyamala.
RIP WAKILI WA SERIKALI
Serikali inashindwa kesi nyingi sana na tunapoteza fedha nyingi kama taifa, huyu marehemu amewahi kusimamia serikali kwenye kesi yoyote akashinda!!?
Nitamtakia RIP au RIA baada ya jibu.
umemkweza marehemu kwa cv ya uwakili wa serikali, nami nimehoji ufanisi kwenye hicho ulichokusudia kukitumia kuomba huruma yetu, usiweweseke! Kwa maana ya uwakili tutajie kesi aliyowahi kutetea serikali ikashinda.
Laiti ungemtaja kwa jina tu kuwa amefikwa na umauti baada ya kupata ajali ya gari habari ya uwakili isingejitokeza. Haya sema sasa alishinda ama daily kushindwa!!!
Nitamuombea a rip au a ria mkinijibu.
Saa tisa usiku! Hata gari lililomgonga halijulikani. RIP[/SIZE][
Satisa anatokabar..harusini..au njiapanda usiulizewapi...nakamaharusini akuwanamke...Else familiakwanini aitenge.. embuchinguzeni
Aliwahi kumshinda babaakoNawashauri ikiwa nia yenu ni kutangaza msiba wa ndugu yenu msijifungamanishe na serikali, manake inachukiwa kama kinavyochukiwa chama tawala, jipimeni uwezo wenu wa kufikiri, wameshatupiga hela za katiba mpya hao hao waserikali. Mmewahi kuambiwa utafika wakati watu watapatwa hisia za kufukua makaburi ya hawa viongozi waitandike hata mifupa bakora kwa upuuzi unaofanywa na serikali.
Nitamtakia a RIP au a RIA mkinijibu.
Aliwahi kushinda kesi yoyote enzi za uhai wake!!!!