Wakili wa serikali sio hata cheo . . . . .kumkweza mtu maana yake nini haswa??!!!
Uwakili wa serikali sio CV. . . .
Huruma yako we nani. . . . Juu ya nini ambacho sie tuliofiwa tutashindwa kukifanya kwa umoja wetu???!!!
Jina tu peke yake God wako wangapi??!! Wambari wako wangapi, narrowing down the identification ikawekwa "wakili wa serikali" kuondoa wengine wenye majina labda kama hayo! !!!
Roho imekuuma sana kutajwa kazi yake. . . . . ."askari wawili wameuwawa kongowe" kaulize wamekamata wahalifu wangapi na mengineyo!!!!???
Wewe ndio unaweweseka mkuu,
jogi kama kweli unataka records zake za kesi mi ntakugharamia kila kitu uende Dodoma ntakupa na mwenyeji soon after easter utapata data yako unayohitaji kuhusu marehemu!!!
RIP kaka Wambari