TANZIA Wakili wa serikali Godfrey Wambari hatunaye tena!

Wewe utakuwa ni hutu tuwakili twenye supp. Kibao pale Law school. Hebu rejea hutuba ya Waziri wa sheria Bunge liloisha juzi ujue ni kesi ngapi serikali imeshinda. Halafu na wewe useme ni zipi serikali imeshindwa.
 
Tafuta utujuze atumishi wake, tujipange kuhudhuria mazikoni, mtuambie mapema kama na yeye aliacha wosia kama wa komba kuwa azikwe na mabuldoza tusije.

Mkuu kweli una ulazima wa kufanya haya kipindi hiki??!!!
 
Tafuta utujuze atumishi wake, tujipange kuhudhuria mazikoni, mtuambie mapema kama na yeye aliacha wosia kama wa komba kuwa azikwe na mabuldoza tusije.


Hii sheria ya cyber crime ni Kali ila kwa watu kama Wewe, bora ije tu.
 
RIP Godfrey,ila na nyie wababa muache kurudi majumbani mwenu usiku wa manane,huku wengi wenu mkiwa mmelewa.Mkitoka makazini muewndage majumbani mwenu moja kwa moja na siyo kupitia bar kwanza.
 

Askari wa Kongowe wameuwawa wakiwa kazini
 
Last edited by a moderator:

Bila shaka wew Huna Dini na kama una dini DINI HIO HAIJAKUAANDAA VZRII,NA KAMA IMEKUANDAA BASI UNA MATATIZO YA AKILI,NA WATU KUENDELEA KUBISHANA NA WEWE NTAWAONA NAO MACHIZI tu,HIO DINI YAKO NI HATARI SANA!!
 

Huyo ana matatizo ya akili namfahamu muacheni tu
 

Poleni wafiwa...!R.I.P. Wambari, G
 
Bila shaka wew Huna Dini na kama una dini DINI HIO HAIJAKUAANDAA VZRII,NA KAMA IMEKUANDAA BASI UNA MATATIZO YA AKILI,NA WATU KUENDELEA KUBISHANA NA WEWE NTAWAONA NAO MACHIZI tu,HIO DINI YAKO NI HATARI SANA!!

Mnaojidai kuwa na dini ndio wapuuzi sijapata kuona, hizo dini zinawasaidia nini nyie angalia Garisa kenya hizo dini zenu zimesababisha watu wasio na hatia kupukutishwa kama -----, halafu unakuja na dini dini yako hapa, tunataka kujua huyo wakili wa serikali alikuwa anafanya nini, kila siku serikali inabwagwa mahakamani sisi tukae kimya!!!!??

Aaaaa wapi tumechoka bwana.
 
Askari wa Kongowe wameuwawa wakiwa kazini

Hao askari ndio wanatuvurumishia mabomu ya machozi daily, na pinda alisema watupige tu, sometimes wawe wanaonja machungu wanayotusababishia.

Tafadhali toeni hesabu ya uwakili wake.
Kwa maneno haya najua mtamzika kwa greda mnaogopa tutapiga chepe kwa hasira.

Hivi nyie hamkumuona mwanasheria mkuu wa serikali alivyokuwa ana bung'aa bungeni!!!!!!
 
Serikali inashindwa kesi nyingi sana na tunapoteza fedha nyingi kama taifa, huyu marehemu amewahi kusimamia serikali kwenye kesi yoyote akashinda!!?

Nitamtakia RIP au RIA baada ya jibu.
Acha upumbavu. Grow up.
 
Kama hii taarifa iliwahusu baadhi ya watu jamani si mngewatumia kwa whatsapp tu!!

Mimi hakuna wakili wa serikali nimewahi kusikia kashinda kesi, tunawalipa mishahara ya bure.
Otherwise niambieni nani kashinda kesi??
 
Acha upumbavu. Grow up.

Kunitaka nikue wakati mimi ni mkubwa huo ndio upumbavu!!!!, Lissu anasifiwa kwa uwakili wake unaojieleza, Marando, Lamwai n.k huyu ndugu yetu tuambieni utumishi wake uliotukuka nasi tushadadie "wakili msomi" kama wanavyomwitaga msando.
 
Mawakili plus AG walevi sana..saa tisa usiku unatoka wapi ? Mxxxxx..
 
Mkuu kweli una ulazima wa kufanya haya kipindi hiki??!!!

Mkuu OLESAIDIMU, nikupe pole, nasema pole sana kwa usumbufu ulioupata kutokana na post zangu, ukiirejea katiba ya nchi yetu tunayoitumia kipo kifungu kinaelekeza kulinda na kuendeleza mila na tamaduni zetu.

Haya makabila yanautani, ambao ni desturi katika mila za makabila husika, Nimelazimika kukutegulia kakitendawili haka maana maneno yangu ilikuwa na bado lengo lake ni kukupunguzieni fikra za moja kwa moja kuhuau pengo mlilolipata kwa kuondokewa na mpendwa ndugu yenu, fikra ambazo zikiachwa ku build up zinaweza kusababisha kiharusi kwa baadhi ya wanandugu.

Usini charactarize kuwa mimi ni mnyama ingawa ni kweli mimi ni mnyamala.
RIP WAKILI WA SERIKALI
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…