TANZIA Wakili wa serikali Godfrey Wambari hatunaye tena!

Braza / sister kuna wakati unahitaji kujipima uwezo wako wa kufikiri,

Siyo kazi ya wakili kushinda kesi,ni kazi ya wakili kuisaidia mahakama kufikia au kufanya maamuzi ya haki na yasiyo na chembe ya uonevu
 
Kunitaka nikue wakati mimi ni mkubwa huo ndio upumbavu!!!!, Lissu anasifiwa kwa uwakili wake unaojieleza, Marando, Lamwai n.k huyu ndugu yetu tuambieni utumishi wake uliotukuka nasi tushadadie "wakili msomi" kama wanavyomwitaga msando.

Nenda milembe wewe!!,hapa upo kimakosa sawa!
 
Kunitaka nikue wakati mimi ni mkubwa huo ndio upumbavu!!!!, Lissu anasifiwa kwa uwakili wake unaojieleza, Marando, Lamwai n.k huyu ndugu yetu tuambieni utumishi wake uliotukuka nasi tushadadie "wakili msomi" kama wanavyomwitaga msando.
Unaonekana umekua kimwili tu. Ingekuwa akili zako ziko matured usingeandika ----- unaondika f-a-l-a wewe. Wewe unasifiwa kwanini kwenye jamii yako?
 
Huu mjadala sasa unataka kutuondoa kwenye huzuni ya kuondokewa na Wakili msomi.
RIP Wakili.
 
Kama hii taarifa iliwahusu baadhi ya watu jamani si mngewatumia kwa whatsapp tu!!

Mimi hakuna wakili wa serikali nimewahi kusikia kashinda kesi, tunawalipa mishahara ya bure.
Otherwise niambieni nani kashinda kesi??
bwanamdogo, kufiwa afiwe mwenzio tu, yaani sikia kwa mwenzio tu, ukifiwa wewe inauma sana sana. hata haya maneno usingekuwa na uwezo wa kuyatoa, unayatoa kwasababu haujafiwa wewe. Mungu akubariki.
 

Kama anataka izo data aje mi nipo msibani ntampeleka katika ofisi yake ili apate kupitia nyaraka anazoziitaji.
Lakini watanzania tunakosa weledi katika kusoma harama za nyakati kila mtu yupo sahihi katika kusema na kutoa mtazamo wake baona brother kakurupuka asijue mda huu watu wapo na majonzi.
Af pia aache unafiki kujifanya ana mapenzi kunoga na nchi hii kama alikua anataka kujua hayo yote basi angejitahidi kujua wakati bwana wambari hajafikwa na umauti.
Jitu #jingajinga kabisa
 
Last edited by a moderator:
sasa saa 9 za usiku bwana wakili wa serikali alikuwa anatoka kwenye mahakama gani?!
au labda bwana wakili wa serikali hakuwa na mke au pengine alikuwa na mke ila alitoka kwa mchepuko wake?!
Daah poleni sana wafiwa na bwana wakili pumzika kwa amani

#Zitto
 
Saa tisa usiku! Hata gari lililomgonga halijulikani. RIP
 
Ni kweli lakini pia kuna matendo huwa yanakaribisha vifo.kuna wakaka kama wawili kila mmoja kwa siku yake walipata ajali wakiwa wamelewa ,njiani wanarudi majumbani mwao usiku wa manane.Sijamsemea Godfrey ila nilitaka kuwakumbusha tu wakaka walio hai.
 

Tumepoa jogi, Mungu ndiye muweza wa yote!!!

Maisha yaendelee mkuu
 
Last edited by a moderator:
Serikali inashindwa kesi nyingi sana na tunapoteza fedha nyingi kama taifa, huyu marehemu amewahi kusimamia serikali kwenye kesi yoyote akashinda!!?

Nitamtakia RIP au RIA baada ya jibu.

Wewe ni ******* mkubwa sana
 

maombiyako hatasiku moja ayajawahi.kusikilizwa namungu


unataka uombenini kwamarehemu iwapo wemzima ujibiwi
 
Saa tisa usiku! Hata gari lililomgonga halijulikani. RIP[/SIZE][

Satisa anatokabar..harusini..au njiapanda usiulizewapi...nakamaharusini akuwanamke...Else familiakwanini aitenge.. embuchinguzeni
 
Aliwahi kumshinda babaako
 
R.I.P brother Godfrey Wambali.Very sad.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…