Wakili wa Serikali hana mihemko na amevimeza vifungu vya Sheria

leo tumejionea utofauti kati ya wapiga kelele na mawakili tulivu wa Serikali ambao wamevisoma vizuri vifungu vya sheria.
Ndio huyu kwani?

Screenshot_2025-07-01-14-48-58-1.png
 
leo tumejionea utofauti kati ya wapiga kelele na mawakili tulivu wa Serikali ambao wamevisoma vizuri vifungu vya sheria.
Inawezekana kweli? Maana tunaaminishwa Wenye akili wote wapo kadima.
 
Namkumbuka Wakili Murtaza Lakha kitambo sana hadi baadae Nyaucho naye akaupenda uwakili hadi huyu Pascal Mayalla 😂

Kwa sasa Mawakili wako Kenya bhana yaani Kalonzo Musyoka, Martha Kalua, Eugene Wamalwa nk….nk 😂😂😂✔️
Hakuna mawakili hapo Serikalini.

Hao wanaishia kubebwa na Mahakama hizi uchwara na Sheria zenu mnazojitungia kujipendelea

Ndo mana mkienda kwenye mashauri ya kimataifa mnachezea vipigo vya mbwa mwizi.

Hakuna Mahakama za watu wenye akili duniani zinakubali kutoa mahairisho miezi 3 mfululizo huku Mtuhumiwa akiwa bado yupo Gerezani.

Nyie jitekenyeni na kucheka wenyewe tu.
 
Mawakili wa serikali wangekuwa wananajua Sheria, serikali isingekuwa inashindwa kwenye mahakama za kimataifa. Nitajie kesi mbili za kimataifa ambazo mawakili uchwara wa serikali wameshinda na Mimi nitakutajia kesi hamsini walizishindwa
Kwenye tasnia ya sheria, kiukweli tumejaza empty shells from top to bottom!. Sii Bunge, Serikali wala Mahakama!
P
 
Hakuna mawakili hapo Serikalini.

Hao wanaishia kubebwa na Mahakama hizi uchwara na Sheria zenu mnazojitungia kujipendelea

Ndo mana mkienda kwenye mashauri ya kimataifa mnachezea vipigo vya mbwa mwizi.

Hakuna Mahakama za watu wenye akili duniani zinakubali kutoa mahairisho miezi 3 mfululizo huku Mtuhumiwa akiwa bado yupo Gerezani.

Nyie jitekenyeni na kucheka wenyewe tu.
Naunga mkono hoja.

Sahihi kabisa
 
Leo tumejionea utofauti kati ya wapiga kelele na mawakili tulivu wa Serikali ambao wamevisoma vizuri vifungu vya sheria.
Tutajie kesi moja ya kimataifa tuliyoshinda kupitia hao mawakili. Kwenye hizi makahama zinazopokea simu moja, utakuwa mwendawazimu kupima mawakili wa serekali, hasa kama ni kesi inayoongozwa na dola.
 
Leo tumejionea utofauti kati ya wapiga kelele na mawakili tulivu wa Serikali ambao wamevisoma vizuri vifungu vya sheria.
Kama jaji sio mtu wa serekali basi mawakili wa serekali mapema wangalikimbia mahakama
 
Back
Top Bottom