Wakili wa Tigo adai kwao Compliance (Utii) kwa mamlaka ni kipaumbele kuliko Privacy (faragha) za Wateja

Mbona Jamii forum hawakutoa taarifa za mteja wao walipotakiwa kufanya hivyo na wezi wa ccm?
 
Sheria za US na Tanzania zinafanana?

Hapa ni matakwa ya kisheria na sio Kampuni inataka nini

Sheria za US zinaruhusu kampuni za simu kutoa siri za wateja, au ndo ushalishwa matango pori lumumba
 
Huyo jamaa naona kaamua kuihujumu tigo maana wateja kina sisi ndiyo tusha hama
 
Mbona Jamii forum hawakutoa taarifa za mteja wao walipotakiwa kufanya hivyo na wezi wa ccm?
Unataka kufananisha Jf na Tigo au mitandao mingine ya simu?

Huku tunatumia fake IDs wakati kule kwenye huduma za simu tunatumia taarifa kamili(halisi), hizo ni scenario mbili tofauti kabisa.

Jf inaweza kukana kuwa haimjui mtu fulani(except for verified members), lakini Tigo wanawezaje, Ikiwa inajukana kuwa Mbowe ana line ya Tigo??
 
Huyo jamaa naona kaamua kuihujumu tigo maana wateja kina sisi ndiyo tusha hama
Umehamia wapi bwashee? Voda, Airtel ,Halotel au?

Nafikiri kutengeneza mtandao wetu au kuhama kabisa nchi ndo the best solution.
 
Wew mburula Kingai huna ujualo kaa utulie Kibwetele. Huyo wakili kihiyo wa tigo amekiri Mahakamani kuwa hakuna barua aliyopewa na polisi inayo omba afanye uchunguzi kwa kosa fulani. Na hata yeye barua aliyo ijibu pia haioneshi kuwa amechunguza na kubaini makosa hayo.
Ndio maana wanamuuliza kwa nini unatoa taarifa za wateja pasipo na sababu za kisheria.
 
Fake id
Inazuia utambulisho wako kwa member wenzio ila info zipo
Kwani wewe ulijiungaje Jf?
 
Hii kesi inaenda kufichua mengi.

Alafu pia inaonekana watanzania tunadharaulika sana, huyo jamaa ameropoka hivyo akijua wateja wao hawawezi kuchukua maamuzi yoyote ya kuitikisa kampuni.

Watanzania wengi wanaweka ushabiki kwenye kila jambo.
 
Kwa maana hiyo chadema walitaka hata mtu mwovu akitumia mtandao ALINDWE TU NA UOVU kwa kuwa sheria ya usiri na faragha inamlinda.
#Hata ulaya hakuna kitu ya namna hii.
Wewe ni MJINGA unajua utaratibu wakupata hayo mawasiliano kwa mhalifu...sheria simmetunga wenyewe kama hamzitaki kwanini msizifute

Sent from my CPH2179 using JamiiForums mobile app
 
Acheni huu UJINGA issue sio kupata hizo taarifa sheria mlizopitisha wenyewe kwanini hamzifuati unajua utaratibu mpaka wakupata hizo taarifa?

Sent from my CPH2179 using JamiiForums mobile app
 
Imagine wakili wa Tigo anadai kuwa siyo kazi ya Tigo kulinda privacy ya mteja!🚶🚶🚶
View attachment 1995874
Sasa wewe, iwapo mtu na genge lake wanataka kupindua nchi, raia mwema akatoa siri na achilia mbali kampuni zikagundua kuna mpango wa kufanya vitendo viovu. Ina maana hiyo kampuni ya mawasiliano ikae kimya kisa eti wana linda siri za mteja?? kweli nyumbu mumechanganyikiwa. Mr DJ ni gaidi
 
Wakati nchi nyingi makampuni ya mawasiliano yakiwa yanaweka kipaumbele sana kwenye usiri wa taarifa za wateja wao, hapa kwetu hali ni tofauti kabisa.
Huyu atakuwa mamluki ametumwa kuua kampuni ya watu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…