Wakili wa Tigo adai kwao Compliance (Utii) kwa mamlaka ni kipaumbele kuliko Privacy (faragha) za Wateja

Wakili wa Tigo adai kwao Compliance (Utii) kwa mamlaka ni kipaumbele kuliko Privacy (faragha) za Wateja

But still bado ni brand kubwa.. maana ndo namba mbili baada ya Vodacom kwenye market share..meaning bado ana ushawishi na brand yake ni kubwa
Duuuu acha fix wewe tigo ya pili?
IMG-20211004-WA0005.jpg
 
Kampuni zote za mawasiliano,serekali inapoomba details au vyombo chochote cha kiuchunguzi katika kupata muhtaasari fulani wa Jambo fulani kampuni za mawasiliano haziwezi kukataa kuitoa faragha husika kwa tarehe husika
mbona hamuelewi wakuuu??? kuombwa sio tatzo!! si kuna utaratibu wa kuomba hizo taarifa? shiida hapo ni kuwa utaratibu wa kuomba hizo taarifa za mteja hazifuatwa! mbaya zaidi hyo barua hata boss zake jamaa hawapitisha sasa itaaminikaje??? maana kila kitu kafanya yeye
 
Kwa maana hiyo chadema walitaka hata mtu mwovu akitumia mtandao ALINDWE TU NA UOVU kwa kuwa sheria ya usiri na faragha inamlinda.
#Hata ulaya hakuna kitu ya namna hii.
Mwovu ni CCM ambayo kazi yake kuu ni kutesa watu. Kwa sasa barani Africa CCM ndio chama katili kabisa. Kwa kukusaidia mtu hawi mwovu kwa macho ya chama tesi kama CCM. UOVU wa CCM unajidhihira kwa kupigilia watu misumari, kuwakata masikio, kuwateka, kuuawawa, kuwanyima mikopo ya elimu ya juu, kuwabambikia kesi, kuwafilisi biashara zao, kuwaharibia masoko ya mazao nje, tozo za miamala, nk. Nk. Tubuni maana ufalme wa Mungu umekaribia.
 
Wakati nchi nyingi makampuni ya mawasiliano yakiwa yanaweka kipaumbele sana kwenye usiri wa taarifa za wateja wao, hapa kwetu hali ni tofauti kabisa.

Hilo limethibitishwa leo na Wakili Msomi Fred Kapara, ambaye ni Wakili wa Kampuni ya Tigo, alipoulizwa Mahakamani wakati akitoa ushahidi katika kesi inayomuhusu Mwenyekiti wa CHADEMA na wenzake wanne, kwamba kati ya Utii kwa mamlaka na Usiri wa taarifa za wateja kipaumbele kwao ni nini, bila kupepesa macho akajibu Utii (Compliance) kwao ndiyo kipaumbele (Priority) zaidi.

Sasa majibu ya kwanini kumekuwepo na uzimaji wa baadhi ya mitandao ya kijamii na kupanda mara dufu kwa gharama za bando za data yameshapatikana. Sababu kubwa ni kwamba huko kwenye hizo social networks zingine kwao Privacy za Wateja ndiyo Priority hivyo mamlaka zitashindwa kupata kile wanakitaka kwa urahisi.

Hii kesi mpaka waje wamalizike mashahidi wote 24 tutakuwa tumeshapata siri nyingi sana ambazo raia wa kawaida tulikuwa tunafichwa.

View attachment 1996391

Ushahidi wote, soma Yaliyojiri Mahakama Kuu Kesi ya Mbowe na Wenzake: Shahidi Afred Kapala wa tiGO atoa Ushahidi, Kesi kuendelea, Nov 03, 2021
Mkuu wewe shukuru Mungu tu hujajaa kwenye 18 zao Serikali inampeleleza yoyote katika hii Nchi kwa mifumo yote kwa lengo kuilinda Nchi iwe salama.Sasa wewe Jichanganye uone madhara.
 
This is why tunahitaji katiba mpya. Katiba ambayo itamlinda mwananchi kulinda privacy yake, muda wa mtu kukaa remand na kesi kusikilizwa
Unataka katiba ilinde privacy hata ya majambazi au magaidi?! Katika nchi yeyote ile vyombo vya usalama vinakuwa na access ya taarifa za kimtandao ili kupambana na uhalifu especially ugaidi.

Tigo hawana makosa hata kidogo, vyombo vya usalama vikihitaji taarifa yeyote ni wajibu wao kutoa taarifa hizo. Ni makosa kutoa taarifa za wateja kwa mtu au watu binafsi but ni wajibu kutoa taarifa hizo kwa vyombo vya usalama.

Sent from my itel W6004 using JamiiForums mobile app
 
Jamani Mimi natafuta mahojiano ya Jana hapa JF mbona siyaoni nasikia tu lawama mtoa taarifa hakuleta mahojiano ya Jana?
 
Kwa maana hiyo chadema walitaka hata mtu mwovu akitumia mtandao ALINDWE TU NA UOVU kwa kuwa sheria ya usiri na faragha inamlinda.
#Hata ulaya hakuna kitu ya namna hii.

Una uwezo mdogo sana kiakili, nadhani unaongozwa na emotions. Si hata wakili wa utetezi alitaka unachozungumzia. Sidhani hata unajua maana ya password au PIN. Na tena unaweza kukuta hata mume wako unamficha password/PIN za simu yako, card ya benki, email nk. Ni kwa sababu faragha ni haki ya msingi!!! Wewe ni kiwango cha asiyejua kwanini hata choo kinaweza kufungwa kwa ndani. FARAGHA!!

Wakili wa utetezi aliuliza maswali ya msingi ila utayaona ya kipumbavu kwa sababu ya utoto wa akili zako. Achilia Ulaya, hata hapa kwetu kuna sheria inayotaka mahakama ndio iamue upatikanaji wa taarifa ambazo ni siri ya mtu. Ndio maana wakili aliuliza kama mahakama iliwahi kuletewa ombi hilo. Ulaya jambo unalosema lingefanyika, lisingefanyika kabisa!! Mahakama ndio ingeliruhusu tena baada ya kumtaarifu mshitakiwa na ingekuwa ni kesi kabisa, sio ombi tu la Polisi!!!

Sasa taarifa za miezi miwili za Mbowe hata zisizohusika na kesi hii ziko wazi kwa mahakama, polisi na mawakili. Ni nani analinda taarifa za hao watu waliopiga na kupigiwa simu, kutuma na kutumiwa pesa???? Nani??

Kwa upeo mdogo, unaona tu upande wa ubaya, vipi hao wasiohusika ambao wameanikwa sasa???
 
Mpaka anayetaka siri hizo awe na court order ya kuitaka kampuni husika kutoa siri hizo siyo kienyeji tu. Na kampuni husika inaweza kwenda mahakamani kuipinga court order kuhusu kutoa siri za mteja wao.
Mbaya zaid wakili wa tigo anaulizwa kwahiyo akitokea polisi yyte akahitaji hizo taarifa utampatia? linajibu ndiyo, pumbavu kabisa
 
Wakati nchi nyingi makampuni ya mawasiliano yakiwa yanaweka kipaumbele sana kwenye usiri wa taarifa za wateja wao, hapa kwetu hali ni tofauti kabisa.

Hilo limethibitishwa leo na Wakili Msomi Fred Kapara, ambaye ni Wakili wa Kampuni ya Tigo, alipoulizwa Mahakamani wakati akitoa ushahidi katika kesi inayomuhusu Mwenyekiti wa CHADEMA na wenzake wanne, kwamba kati ya Utii kwa mamlaka na Usiri wa taarifa za wateja kipaumbele kwao ni nini, bila kupepesa macho akajibu Utii (Compliance) kwao ndiyo kipaumbele (Priority) zaidi.

Sasa majibu ya kwanini kumekuwepo na uzimaji wa baadhi ya mitandao ya kijamii na kupanda mara dufu kwa gharama za bando za data yameshapatikana. Sababu kubwa ni kwamba huko kwenye hizo social networks zingine kwao Privacy za Wateja ndiyo Priority hivyo mamlaka zitashindwa kupata kile wanakitaka kwa urahisi.

Hii kesi mpaka waje wamalizike mashahidi wote 24 tutakuwa tumeshapata siri nyingi sana ambazo raia wa kawaida tulikuwa tunafichwa.

View attachment 1996391

Ushahidi wote, soma Yaliyojiri Mahakama Kuu Kesi ya Mbowe na Wenzake: Shahidi Afred Kapala wa tiGO atoa Ushahidi, Kesi kuendelea, Nov 03, 2021
Tigo inaenda kufa kwa Zantel
 
Fikiria tu, kampuni inatumia mabilioni ye fedha kila mwaka ili itengeneze brand yake kwa wananchi. Lengo ikiwa ni wananchi waiamini na waipende ili waendelee kutumia huduma zake ili kampuni iendelee nayo kutengeneza pesa na faida...

Unaandika kwa hisia zaidi kuliko uhalisia,mbona kwa kesi ya Sabaya kuna maafisa kutoka Vodacom walikwenda kutoa ushahidi Mahakamani?

Kwa sababu tu huyu wa Tigo kaenda kutoa ushahidi kwa kesi ya mtu unaempenda ndiyo unatoa shutuma
zote hizi?

Kama unajua kutoa ushahidi kwa kampuni ni kuharibu brand basi ungeanza kwanza na shutuma dhidi ya mfanyakazi wa Vodacom kisha uje kwa huyu wa Tigo.Double standards ndizo zinawafanya muwe mnapindisha mambo pale tu upande wako unapoguswa.
 
Unaandika kwa hisia zaidi kuliko uhalisia,mbona kwa kesi ya Sabaya kuna maafisa kutoka Vodacom walikwenda kutoa ushahidi Mahakamani? Kwa sababu tu huyu wa Tigo kaenda kutoa ushahidi kwa kesi ya mtu unaempenda ndiyo unatoa shutuma...
Maovu ya sabaya yapo wazi hata wewe ungeenda kutoa ushahidi, tuambie maovu ya Mbowe wapi analalamikiwa na raia wa kawaida zaidi ya serikali hii katili?
 
Hata baki salama wanaenda kumuondoa mana alicho kiongea leo, ni hatari sana, kwanza aliulizwa amtaje aliye sajili line ya tigo akasema hamji, haya line ilisajiliwa wapi anasema hajui anachotaka kusma ni kwamba tigo haina data za kutosha kuhusu wateja wake na haituni privacy ya wateja wake.

Hakuna mtu ataondolewa kisa katoa ushahidi Mahakamani tena upande wa Jamuhuri! Mnapenda kujifurahisha tu hapa lakini Fredy ataendelea kuwepo sana tu kazini kwake kama vile yule Ofisa wa Vodacom anavyoendelea na kazi zake.Wote hawa walitoa ushahidi upande wa Jamuhuri.
 
Back
Top Bottom