Mkuu fanya kamuamala basi, au ushamalizaAmewatia aibu sana wanasheria, sikutegemea kama mwanasheria anaweza kuwa haelewi umuhimu wa privancy ya mteja
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu fanya kamuamala basi, au ushamalizaAmewatia aibu sana wanasheria, sikutegemea kama mwanasheria anaweza kuwa haelewi umuhimu wa privancy ya mteja
Namtabiria atajikuna ndevu hadi zing'oke.Sioni kama wanamuacha
Duuuu acha fix wewe tigo ya pili?But still bado ni brand kubwa.. maana ndo namba mbili baada ya Vodacom kwenye market share..meaning bado ana ushawishi na brand yake ni kubwa
Siyo chini tu.Ni down-under kabisa.Uwezo wako wa kufikiri uko chini sana ndugu yangu
mbona hamuelewi wakuuu??? kuombwa sio tatzo!! si kuna utaratibu wa kuomba hizo taarifa? shiida hapo ni kuwa utaratibu wa kuomba hizo taarifa za mteja hazifuatwa! mbaya zaidi hyo barua hata boss zake jamaa hawapitisha sasa itaaminikaje??? maana kila kitu kafanya yeyeKampuni zote za mawasiliano,serekali inapoomba details au vyombo chochote cha kiuchunguzi katika kupata muhtaasari fulani wa Jambo fulani kampuni za mawasiliano haziwezi kukataa kuitoa faragha husika kwa tarehe husika
Mwovu ni CCM ambayo kazi yake kuu ni kutesa watu. Kwa sasa barani Africa CCM ndio chama katili kabisa. Kwa kukusaidia mtu hawi mwovu kwa macho ya chama tesi kama CCM. UOVU wa CCM unajidhihira kwa kupigilia watu misumari, kuwakata masikio, kuwateka, kuuawawa, kuwanyima mikopo ya elimu ya juu, kuwabambikia kesi, kuwafilisi biashara zao, kuwaharibia masoko ya mazao nje, tozo za miamala, nk. Nk. Tubuni maana ufalme wa Mungu umekaribia.Kwa maana hiyo chadema walitaka hata mtu mwovu akitumia mtandao ALINDWE TU NA UOVU kwa kuwa sheria ya usiri na faragha inamlinda.
#Hata ulaya hakuna kitu ya namna hii.
Mkuu wewe shukuru Mungu tu hujajaa kwenye 18 zao Serikali inampeleleza yoyote katika hii Nchi kwa mifumo yote kwa lengo kuilinda Nchi iwe salama.Sasa wewe Jichanganye uone madhara.Wakati nchi nyingi makampuni ya mawasiliano yakiwa yanaweka kipaumbele sana kwenye usiri wa taarifa za wateja wao, hapa kwetu hali ni tofauti kabisa.
Hilo limethibitishwa leo na Wakili Msomi Fred Kapara, ambaye ni Wakili wa Kampuni ya Tigo, alipoulizwa Mahakamani wakati akitoa ushahidi katika kesi inayomuhusu Mwenyekiti wa CHADEMA na wenzake wanne, kwamba kati ya Utii kwa mamlaka na Usiri wa taarifa za wateja kipaumbele kwao ni nini, bila kupepesa macho akajibu Utii (Compliance) kwao ndiyo kipaumbele (Priority) zaidi.
Sasa majibu ya kwanini kumekuwepo na uzimaji wa baadhi ya mitandao ya kijamii na kupanda mara dufu kwa gharama za bando za data yameshapatikana. Sababu kubwa ni kwamba huko kwenye hizo social networks zingine kwao Privacy za Wateja ndiyo Priority hivyo mamlaka zitashindwa kupata kile wanakitaka kwa urahisi.
Hii kesi mpaka waje wamalizike mashahidi wote 24 tutakuwa tumeshapata siri nyingi sana ambazo raia wa kawaida tulikuwa tunafichwa.
View attachment 1996391
Ushahidi wote, soma Yaliyojiri Mahakama Kuu Kesi ya Mbowe na Wenzake: Shahidi Afred Kapala wa tiGO atoa Ushahidi, Kesi kuendelea, Nov 03, 2021
Unataka katiba ilinde privacy hata ya majambazi au magaidi?! Katika nchi yeyote ile vyombo vya usalama vinakuwa na access ya taarifa za kimtandao ili kupambana na uhalifu especially ugaidi.This is why tunahitaji katiba mpya. Katiba ambayo itamlinda mwananchi kulinda privacy yake, muda wa mtu kukaa remand na kesi kusikilizwa
Kampuni ya tigo imesajiliwa kwa mujibu wa Sheria na taratibu za kimtandao, inayo wajibu wa kufuata Sheria na taratibu hizo chini ya TCRA otherwise inaweza kufutiwa leseni yake.Hapo ndipo wanapotukosea inaamaana utii ni zaidi kuliko privacy ya mtu?
swali gani alijikanyaga?Umempendelea sana huyo ngedere kwa kumuita Wakili Msomi! Anaulizwa maswali mengine anajikanyaga kanyaga tu! Halafu eti ni Mwanasheria wa kampuni kubwa kama tigo!
Kwa maana hiyo chadema walitaka hata mtu mwovu akitumia mtandao ALINDWE TU NA UOVU kwa kuwa sheria ya usiri na faragha inamlinda.
#Hata ulaya hakuna kitu ya namna hii.
Halafu bado kuna msomi anayefuatilia hii kesi anamiliki card ya tigo???Imagine wakili wa Tigo anadai kuwa siyo kazi ya Tigo kulinda privacy ya mteja!🚶🚶🚶
View attachment 1995874
Mbaya zaid wakili wa tigo anaulizwa kwahiyo akitokea polisi yyte akahitaji hizo taarifa utampatia? linajibu ndiyo, pumbavu kabisaMpaka anayetaka siri hizo awe na court order ya kuitaka kampuni husika kutoa siri hizo siyo kienyeji tu. Na kampuni husika inaweza kwenda mahakamani kuipinga court order kuhusu kutoa siri za mteja wao.
Tigo inaenda kufa kwa ZantelWakati nchi nyingi makampuni ya mawasiliano yakiwa yanaweka kipaumbele sana kwenye usiri wa taarifa za wateja wao, hapa kwetu hali ni tofauti kabisa.
Hilo limethibitishwa leo na Wakili Msomi Fred Kapara, ambaye ni Wakili wa Kampuni ya Tigo, alipoulizwa Mahakamani wakati akitoa ushahidi katika kesi inayomuhusu Mwenyekiti wa CHADEMA na wenzake wanne, kwamba kati ya Utii kwa mamlaka na Usiri wa taarifa za wateja kipaumbele kwao ni nini, bila kupepesa macho akajibu Utii (Compliance) kwao ndiyo kipaumbele (Priority) zaidi.
Sasa majibu ya kwanini kumekuwepo na uzimaji wa baadhi ya mitandao ya kijamii na kupanda mara dufu kwa gharama za bando za data yameshapatikana. Sababu kubwa ni kwamba huko kwenye hizo social networks zingine kwao Privacy za Wateja ndiyo Priority hivyo mamlaka zitashindwa kupata kile wanakitaka kwa urahisi.
Hii kesi mpaka waje wamalizike mashahidi wote 24 tutakuwa tumeshapata siri nyingi sana ambazo raia wa kawaida tulikuwa tunafichwa.
View attachment 1996391
Ushahidi wote, soma Yaliyojiri Mahakama Kuu Kesi ya Mbowe na Wenzake: Shahidi Afred Kapala wa tiGO atoa Ushahidi, Kesi kuendelea, Nov 03, 2021
Fikiria tu, kampuni inatumia mabilioni ye fedha kila mwaka ili itengeneze brand yake kwa wananchi. Lengo ikiwa ni wananchi waiamini na waipende ili waendelee kutumia huduma zake ili kampuni iendelee nayo kutengeneza pesa na faida...
Ni shahidi kwenye kesi ya Mbowe ni mwanasheria wa Tigo.. ametoa ushahidi ambao umemchafua mwajiri wake .....
Itakuwa ni aibu kubwa snHalafu bado kuna msomi anayefuatilia hii kesi anamiliki card ya tigo???
Maovu ya sabaya yapo wazi hata wewe ungeenda kutoa ushahidi, tuambie maovu ya Mbowe wapi analalamikiwa na raia wa kawaida zaidi ya serikali hii katili?Unaandika kwa hisia zaidi kuliko uhalisia,mbona kwa kesi ya Sabaya kuna maafisa kutoka Vodacom walikwenda kutoa ushahidi Mahakamani? Kwa sababu tu huyu wa Tigo kaenda kutoa ushahidi kwa kesi ya mtu unaempenda ndiyo unatoa shutuma...
Hata baki salama wanaenda kumuondoa mana alicho kiongea leo, ni hatari sana, kwanza aliulizwa amtaje aliye sajili line ya tigo akasema hamji, haya line ilisajiliwa wapi anasema hajui anachotaka kusma ni kwamba tigo haina data za kutosha kuhusu wateja wake na haituni privacy ya wateja wake.