Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Wakili Godfrey Wasonga ambaye anadaiwa kuwa ni mwanachama kindakindaki wa CCM lakini anayaona mamho tofauti kabisa na wakubwa wake wa chama.
Wakili Godfrey Wasonga anasema Lissu sio Muhaini. Anasisitiza kuwa kusema No Reforms No Election, hakuwezi kuwa Uhaini.
Wakili Godrey Wasonga anasisitiza kwamba serikali iache ugomvi na vyama vya siasa. Mamho ya kisiasa yashulikiwe kisiasa.