Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
AminaWakili Godfrey Wasonga ambaye anadaiwa kuwa ni mwanachama kindakindaki wa CCM lakini anayaona mamho tofauti kabisa na wakubwa wake wa chama.
Wakili Godfrey Wasonga anasema Lissu sio Muhaini. Anasisitiza kuwa kusema No Reforms No Election, hakuwezi kuwa Uhaini.
Wakili Godrey Wasonga anasisitiza kwamba serikali iache ugomvi na vyama vya siasa. Mamho ya kisiasa yashulikiwe kisiasa.
Kwani lazima CCM itoke madarakani ili inchi iendelee ?Viongozi wa Serikali wanaiogopa sana hii slogan, wanajua huu ndiyo mwarobain wa CCM kutoka madarakani sababu hakuna njia nyingine yoyote ya kidemokrasia mnaweza kuwashinda hawa jamaa - huwezi ukathani utaiondoa CCM madarakani kwa yale makaratasi ya kura - sahau milele ewe mtanganyika.
Sasa hivi wao wanakwambia Oktoba Wanatiki... Kifupi ni kwamba hakuna uchaguzi wala kupiga kura! Ni kutiki tu! Alafu kwenye bango lao kuna ushungi bila sura!Viongozi wa Serikali wanaiogopa sana hii slogan, wanajua huu ndiyo mwarobain wa CCM kutoka madarakani sababu hakuna njia nyingine yoyote ya kidemokrasia mnaweza kuwashinda hawa jamaa - huwezi ukathani utaiondoa CCM madarakani kwa yale makaratasi ya kura - sahau milele ewe mtanganyika.
Bila ccm kutoka madarakani tutaendelea kuibiwa na kuendeleza baadhi tu ya familia! ZINDUKAKwani lazima CCM itoke madarakani ili inchi iendelee ?
Kumbe tunaibiwa ?.Bila ccm kutoka madarakani tutaendelea kuibiwa na kuendeleza baadhi tu ya familia! ZINDUKA
hamna hatekwi. huyu wakili nilimpenda sana pale alipokwama mahakani issue ya vijana wa JWTZ waliombaka yule demu dar. Asema wamekuwa wakiuliza mahakamani hiyo sehemu ya kinyume kwa binadamu ni ipi lakini mahakaa haikuwapa jibu hadi vijana wake wananyeshewa mvua ya miaka. Ile wamekata rufaa na imeanza kusikilizwaHuyu akifika Jumamosi Hajatekwa aende akatoe sadaka Jumapili