Wakimbizi wa Kiarabu ni tofauti kidogo na hawa wa Congo

Wakimbizi wa Kiarabu ni tofauti kidogo na hawa wa Congo

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2015
Posts
6,661
Reaction score
21,656
Hawa wakimbizi wa Kiarabu pande za Lebanon na Gaza ni tofauti kidogo na hawa wa kwetu huku Congo.

Hawa waarabu wanaonekana kila siku wanaoga, nguo safi na wanaonekana wanakula kila siku.

Wakimbizi wa Congo malnutrition inaonekana hata ukiwa km 10, watoto wazee wote wamekonda kabisa. Maji ya shida, usafi hamna.

UNHCR iweke nguvu nyingi huku Afrika. Kwa kila sh. 10 inayotoka, sh 6 ielekezwe Congo, inayobaki igawanywe Mashariki ya Kati na Ukraine.
 
Back
Top Bottom