Wakina dada mnaozidisha lipstick siwaelewi kabisa

Wakina dada mnaozidisha lipstick siwaelewi kabisa

lossoJR

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2012
Posts
2,711
Reaction score
2,384
Hivi wakina dada hizo lipstick huwa zina nini aisee maana tukiwakiss huwa tunahara kweli, yaani unakuta bidada kajikandika lipstick kama karai la kuchamganyia udongo mfinyanzi!

Utasikia Just kiss me hiyo ni dry haitoki, WTF, mwishowe mnatupaka kwenye mashati yetu bila mpangilio.

Weka hizo mambo kiasi bwana,ikiwezekana pakeni tu hata Lip bam.. Tutawapenda tu

NB:Mimi simuelewi mwanamke anaejikwetua na mpaka hayo madude kwa wingi.
Kama hili[emoji116]

f615db7c6b9e71eac5c3f9124077b957.jpg

Ila hapa aah swaafi[emoji116]

d15036b6f67e2aa384d4afd04d344085.jpg
 
Kwani Lipstick hajazipiga marufuku bwana yule?

Maana nchi Yangu imekuwa na sheria za kipekee duniani.
 
Mhh aisee!!!!
Lipstick au chakula ulicho kula kabla, em trace back kabla ya kukiss ulikula kula vitu gani kwanza..
Wadada wangekua wanahara sana juu ya hilo kama ni kweli
 
...Utasikia Just KISS me hiyo ni DRY haitoki, WTF, mwishowe mnatupaka kwenye mashati yetu bila mpangilio.
Harafu unaingia home kwako bila mpangilio na my wife wako jambo la kwanza analofanya ni kuyaona hayo madoa kwenye shati na kutaka maelezo yaliyonyooka...🙂
 
Back
Top Bottom