Wakina dada mnaozidisha lipstick siwaelewi kabisa

Wakina dada mnaozidisha lipstick siwaelewi kabisa

Pole,mwambie mpenzi wako mkiwa mnakutana asiji-kandike sana apake kidogo au atumie lip gloss.
Sawa ntamwambia,ila na wewe punguza sasa kujikandika
 
Kwani Lipstick hajazipiga marufuku bwana yule?

Maana nchi Yangu imekuwa na sheria za kipekee duniani.
[emoji1] [emoji1] akiona Uzi huu atatoa tamko, maana yumo humu
 
Harafu unaingia home kwako bila mpangilio na my wife wako jambo la kwanza analofanya ni kuyaona hayo madoa kwenye shati na kutaka maelezo yaliyonyooka...🙂
Hapo moto lazima ukuwakie[emoji1] [emoji1]
 
Tulia wewe

Sasa kosa langu nini kiongozi kuomba picha yako Tuone jinsi unavyohara mkuu...?

Si nataka kuhakikisha tu yaliyosemwa nawe kwenye uzi wako mkuu.

Ahsante.
 
Sipendi hayo makitu, bora hata wigi ntavumilia kuliko hayo malipstick, angalau ngalau ile colourless lakini napo utakuta bidada kajisiriba utadhani kamininia mafuta na maji vile
 
Back
Top Bottom