Pole,mwambie mpenzi wako mkiwa mnakutana asiji-kandike sana apake kidogo au atumie lip gloss.Mnaboaaaa
Jomoniii Inna lakinii[emoji20] [emoji20] [emoji85]
Ndo uache kama unapakaJomoniii Inna lakinii[emoji20] [emoji20] [emoji85]
Sipendi mtu anayetumia neno "jomoni" kama siku mke wangu akilitumia namlamba kibao akajifunze adabuJomoniii Inna lakinii[emoji20] [emoji20] [emoji85]
Harafu unaingia home kwako bila mpangilio na my wife wako jambo la kwanza analofanya ni kuyaona hayo madoa kwenye shati na kutaka maelezo yaliyonyooka...🙂...Utasikia Just KISS me hiyo ni DRY haitoki, WTF, mwishowe mnatupaka kwenye mashati yetu bila mpangilio.