Wakina dada msiopaka Makeup nawapeni maua yenu

Wakina dada msiopaka Makeup nawapeni maua yenu

Mie bila wanja sitoki nje, nna jicho Kama la ray c, nahisi nisipolidhibiti Kwa wanja nitatisha wapita njia🤣🤣
 
Hongereni sana Akina dada wote ambao hampaki make up na Bado mnapendeza.

Mnanyoa na Bado mnapendeza.

Amen!
1687019243040.png
 
Back
Top Bottom