The Icebreaker
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 22,278
- 65,817
Kweli amestahili kupokea maua yake,yupo natural kinoma.namie ntumie PM kama IceBreaker
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli amestahili kupokea maua yake,yupo natural kinoma.namie ntumie PM kama IceBreaker
share upendo nasi basi mzee, alaf unafutaKweli amestahili kupokea maua yake,yupo natural kinoma.
Hapana mkuu,siwezi kukiuka mkataba,naweza nisije kuaminika tena.share upendo nasi basi mzee, alaf unafuta
perfect lips for steamy kissing 😋 😋 😋 😋
Ahahaha,,,perfect lips for steamy kissing 😋 😋 😋 😋
yes, unalambalamba gloss hiyo mpaka lips zina turn paleAhahaha,,,
wanawake wanakaza fuvu tu ila wanaume tunapenda simple things.....Nikikuta wanawake all factors vikiwa costant.. mmoja kichwani kanyoa kawaida, mwingine katia mazagazaga.. bssi yule kichwa bila kusuka ananikosha na kuisuuza nafsi yangu.
unaweka alaf unafuta chap, sitaiwahi niamini
fanya kweli basi 🙄[emoji23][emoji23][emoji23]
Hapana mkuu,siwezi kukiuka mkataba,naweza nisije kuaminika tena.
Oooh unasema kweli?Ahsante sana bro [emoji8]
fanya kweli basi 🙄
Oooh unasema kweli?
Sema wanyoa hivi ni pepezi kupitiliza
au nianze mimi ?[emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe unavaa wigi Cute[emoji23][emoji23][emoji23]
Ni natural! OG from God! Mnato hahahahahahaNawapa maua yao kwakweli wanapendeza sana na mbususu zao pia ni tamu sana
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app