Wakina dada msiopaka Makeup nawapeni maua yenu

Wakina dada msiopaka Makeup nawapeni maua yenu

wanawake wanakaza fuvu tu ila wanaume tunapenda simple things.....
Mwezi kama 1½ uliopita, natoka muhimbili, nakutana na binti kavaa simple jeanz safi,kachomekea ana kishundu maridadi, kichwami nywele zimenyolewa kawaida, hajaweka bleach, mafuta yso yale,wala hajapiga way.. alikuwa na mtoto mmoja au viwili.. aisee nikajisemea ingekuwa enzi zangu, huyu leo asingechomoka, nikaikaza nafsi, nikaituliza tuliza pale., tulia mzee mwenzangu, una mke wewe, hawaishi hawa.😂🤣
mpaka binti akaja kushukia kabla hatujafika karume..
 
Alafu umuite aitikie, "niambie Mme wangu".! Sijui Ile Kasi ya mapigo ya moyo Huwa unatoka wapi,,,wakati huu unaweza kutoa ahadi za Bei mbaya😀😀
 
daah nimepagawa sana na shingo hiyo
hawa wanaoacha maungo wazi wazi hivi kwenye foreplay watam sana, yaani unafeel kila open follicle kwa skin yake with your moist tongue
Ndugu dronedrake nenda taratibu Sasa hivi ni saa Tano+
 
Back
Top Bottom