[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hayaa nicheck uduguu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Uduguu kuna sehemu nimeona kitu ngoja nikucheck [emoji1787]
Sema kwenye mgegedo inapanda hadi tumboni labda uishikilie mgegedaji[emoji39]Waongezee na shanga moja tu, sio wale wanavaa shanga nyingi kama uchafu,
Shanga moja tu tena ile kama cheni fln gold-plated
Kwamba....π
Naomba upokee maua yangu donatila nipo nyuma yakoMaua mpelekee nyuki...[emoji1787]
Napokea dollar tuu
Sitaki maua, unajua kujitunza kuwa asili ni kazi sana...ndio maana tupo wachacheNaomba upokee maua yangu donatila nipo nyuma yako
Haha ndo maana unataka dollar .....usjali ndo mana nmesema nipo nyuma yakoSitaki maua, unajua kujitunza kuwa asili ni kazi sana...ndio maana tupo wachache
Pokea DonatilaSitaki maua, unajua kujitunza kuwa asili ni kazi sana...ndio maana tupo wachache
Kuna ile zinabanwa kwa nyuma halafu huku mbele kuna ka kipande kama kanakatwa kanakuja kama kulalia upande mmoja juu ya jicho. Kwakweli tuwape maua yaopicha ya mfano ingependeza
Hongera sana kwao, nawakubali kichizi,
alaf zile nywele azibane kwa nyuma kule
π π π πkanakuja kama kulalia upande mmoja juu ya jicho.
Nimepokea, sababu unajaliHaha ndo maana unataka dollar .....usjali ndo mana nmesema nipo nyuma yako
Nimepokea, asanteeePokea Donatila
Yeeeesiiiiii nakuja ivi [emoji124][emoji124][emoji125] stegemei kuona wivu kwangu kwa Wana jf juu ya mtoto Donatila.Nimepokea, sababu unajali
Huogopi mishangazi [emoji1787]Yeeeesiiiiii nakuja ivi [emoji124][emoji124][emoji125] stegemei kuona wivu kwangu kwa Wana jf juu ya mtoto Donatila.
Nishakupa maua yangu unadhan najali ilo...kwa namna yoyote ile utakavyokuwa nshaamua....NARUDIA staki maneno kutoka Wana jfHuogopi mishangazi [emoji1787]
Mim sijawai hata toa pesa yangu kununua make up.
ππππππMim sijawai hata toa pesa yangu kununua make up.
Instagram yangu nimewafollow wauza viwalo na wauza decor na mapazia uuuuuh na wananijua.
πππ