Wakina Dada/ Wanawake ni vitu gani huwa mnaviangalia haraka mnapokutana na Wanamume?

Kikubwa kujiamini ukiona mwanamke anataka kukutawala Kwa tone ya Lugha anayotumia piga chini maana Kuna wale Huwa wanajiona class ya Juu Sasa hao Mimi Huwa nawavizia wajichangange,wakiona kimyaaa sana watakuuliza ndio unamchana makavu hatorudua Kwa mwingine ataanza kujistukia.

Ni kosa Kwa mwanaume kuwa submissive Kwa mwanamke eti mzuri,nilishaga shindwa kujiliza Kwa mwanamke ndio maana Huwa nashangaa watu kugombania mwanamke.
 
View attachment 3099728
Wallet la mdogo wako jioni hii lina afu tatu lakini ni zuri balaaa 🀣🀣🀣
Joannah
To be honest Huwa sitembei na wallet popote,Toka nimepoteza pesa na vitambulisho niliapa kutembea na wallet kama huna gari usijaribu utakuja kulia siku Moja.

Sijawahi kosa mwanamke eti kisa wallet,hua naona NJ mzigo the same kuvaa saa nilishashindwa πŸ€ͺπŸ€ͺ
 
Yaani uwe unanukia,umevaa Pamba Kali na kiatu harafu unatembea Kwa miguu au baiskeli? Hiyo ni jau sana.

Niliwahi nunua manukato nikasahau kutumia Sasa Kuna demu huwa anakuja kufanya usafi ikabidi aniombe eti Huwa situmii,nikampa 😁😁

Mimi ni Me nikisikia mwanaume ananukia Huwa namdharau πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Naaaam! Safi sana ,washauri vijana waongeze kujiamini.
 
Naaaam! Safi sana ,washauri vijana waongeze kujiamini.
Katika jambo Mimi ninalimudu Kwa 90% ni la kujiamini ,muendelezo wa mazungumzo naweza feli ila sio kumface mwanamke kwanza sidhani kama yupo naemuogopa.

So badala ya Vijana kuhangaika na pafyumu wajiamini harafu wawe na Lugha ya mvuto Kwa mwanamke hapo watakuwa wamemaliza.

Ukiwa casual tuu na ukajiamini na unajua kujieleza Kwa kupangilia maneno ushamaliza ,hayo mengine mwanamke atakuongezea yeye baadae kama atapona ni muhimu kwake uwe nayo.
 
Ushamba?
Nani kataja ushamba?
It's a proxima to implication ya uzembe, in other words how do you reflect on carriage of obesity, those are just body muscles, currently are equally more visible in women even the younger ones, 22-35.

But any what matters is hahahaahaaa 🀣🀣🀣
 
Usiwadharau bwana wengine ndio tunapenda. Unaamini nini mwanaume akiwa ananukia?
Mtoto wa mama ,ni wale Huwa wanajiliza Liza Kwa Wanawake na kujinyonga au kuvurugika maisha kisa wameshindana na mwanamke.

Kiufupi ni wanaume dhaifu sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…