Wakina Dada/ Wanawake ni vitu gani huwa mnaviangalia haraka mnapokutana na Wanamume?

Wakina Dada/ Wanawake ni vitu gani huwa mnaviangalia haraka mnapokutana na Wanamume?

Usafi/umaridadi/utanashati ni muhimu kwa kila binadamu.

Kikubwa Jiamini kijana na binti atakuelewa kama ana akili za kutosha, usijetafuta Escort ya 10 Rose Noire ili tu binti akukubali,ishi ndani ya uwezo wako kama ni manukato/mavazi yaendane na vile unaweza kumudu gharama yake,vingine usivyoweza ukimuigizia mwisho wa siku mtakuja kutufungulia thread ya kukutana na "jangiri wa kike"
Kikubwa kujiamini ukiona mwanamke anataka kukutawala Kwa tone ya Lugha anayotumia piga chini maana Kuna wale Huwa wanajiona class ya Juu Sasa hao Mimi Huwa nawavizia wajichangange,wakiona kimyaaa sana watakuuliza ndio unamchana makavu hatorudua Kwa mwingine ataanza kujistukia.

Ni kosa Kwa mwanaume kuwa submissive Kwa mwanamke eti mzuri,nilishaga shindwa kujiliza Kwa mwanamke ndio maana Huwa nashangaa watu kugombania mwanamke.
 
View attachment 3099728
Wallet la mdogo wako jioni hii lina afu tatu lakini ni zuri balaaa 🤣🤣🤣
Joannah
To be honest Huwa sitembei na wallet popote,Toka nimepoteza pesa na vitambulisho niliapa kutembea na wallet kama huna gari usijaribu utakuja kulia siku Moja.

Sijawahi kosa mwanamke eti kisa wallet,hua naona NJ mzigo the same kuvaa saa nilishashindwa 🤪🤪
 
Nimeona ktk huu mjadala ishu ya kunukia.

Ni kweli, Manukato yanakupa point nyingi sana mbele ya Watu mbalimbali...

Nje ya manukato pia wanapenda HEIGHT ukiwa na kimo kizuri tyr ww ni special case.. pia mavazi ambayo yanaendana na Viatu..

Kikubwa zaidi pia ukiwa na ka usafiri ni jambo la kukupa heshima zaidi...

Mguuni hakikisha una viatu vya kupanda mfano: Clarks, Chelsea boots👢, Travolta etc

Kupokea compliments kwamba unavutia ni jambo la kawaida..

Wait.. mkononi weka kitu cha maana.. ni muhimu.
Yaani uwe unanukia,umevaa Pamba Kali na kiatu harafu unatembea Kwa miguu au baiskeli? Hiyo ni jau sana.

Niliwahi nunua manukato nikasahau kutumia Sasa Kuna demu huwa anakuja kufanya usafi ikabidi aniombe eti Huwa situmii,nikampa 😁😁

Mimi ni Me nikisikia mwanaume ananukia Huwa namdharau 😂😂
 
Kikubwa kujiamini ukiona mwanamke anataka kukutawala Kwa tone ya Lugha anayotumia piga chini maana Kuna wale Huwa wanajiona class ya Juu Sasa hao Mimi Huwa nawapiga chini,wakiona kimyaaa sana watakuuliza ndio unamchana makavu hatorudua Kwa mwingine ataanza kujistukia.

Ni kosa Kwa mwanaume kuwa submissive Kwa mwanamke eti mzuri,nilishaga shindwa kujiliza Kwa mwanamke ndio maana Huwa nashangaa watu kugombania mwanamke.
Naaaam! Safi sana ,washauri vijana waongeze kujiamini.
 
Naaaam! Safi sana ,washauri vijana waongeze kujiamini.
Katika jambo Mimi ninalimudu Kwa 90% ni la kujiamini ,muendelezo wa mazungumzo naweza feli ila sio kumface mwanamke kwanza sidhani kama yupo naemuogopa.

So badala ya Vijana kuhangaika na pafyumu wajiamini harafu wawe na Lugha ya mvuto Kwa mwanamke hapo watakuwa wamemaliza.

Ukiwa casual tuu na ukajiamini na unajua kujieleza Kwa kupangilia maneno ushamaliza ,hayo mengine mwanamke atakuongezea yeye baadae kama atapona ni muhimu kwake uwe nayo.
 
Ushamba?
Nani kataja ushamba?
It's a proxima to implication ya uzembe, in other words how do you reflect on carriage of obesity, those are just body muscles, currently are equally more visible in women even the younger ones, 22-35.

But any what matters is hahahaahaaa 🤣🤣🤣
 
Usiwadharau bwana wengine ndio tunapenda. Unaamini nini mwanaume akiwa ananukia?
Mtoto wa mama ,ni wale Huwa wanajiliza Liza Kwa Wanawake na kujinyonga au kuvurugika maisha kisa wameshindana na mwanamke.

Kiufupi ni wanaume dhaifu sana.
 
Back
Top Bottom