Wakina Dada/ Wanawake ni vitu gani huwa mnaviangalia haraka mnapokutana na Wanamume?

Amehlo boss pitia hapa tunataka kusikia kutoka kwako ?
Just a Girl Midekoo sijaona ukisema neno according to the thread
 
Naunga mkono hoja kipenzi changu/ Mtani wangu tuwaachie wakina figo 🀣🀣🀣🀣🀣🀣
🀣🀣🀣🀣
Looh huyo Kidney. Aisee
nimekosa hata cha kusema πŸ˜‚πŸ˜‚hapa wacha nisome tu maana nahisi nina ulimwengu wangu wa peke angu kipande hicho
πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
Hupandishi na kushusha macho ?
Pua huwa hazinusiii 🀣🀣🀣
 
🀣🀣🀣🀣
Looh huyo Kidney. Aisee
πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
Hupandishi na kushusha macho ?
Pua huwa hazinusiii 🀣🀣🀣
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚si ndo maaana nasema kuna vitu havielezeki sometimes naangalia mwenzangu mi naangaliaga viatu
 
Tena moto wa kifuu luv. Kama alivyosema Saint Anne vya kale ni dhahabu, tutakuwepo kunakshinakshi hatuna jinsi πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
Tukipotea mazima majukwaa yatapoa..tuwe tunakazia mada kido kidogo...vya kale dhahabu...ukubwa nao dawa...πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…