Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee kati ya hawa kuna mmoja, Alinitafakarisha sana jamani dah, Nikafanya dua then Nikabadilisha id maisha yanasonga vema.
Naunga mkono hoja kipenzi changu/ Mtani wangu tuwaachie wakina figo 🤣🤣🤣🤣🤣🤣Au vipi Bantu Lady 😀😀😀
Kabisa dear 😃😃😅🤣🤣🤣🤣maana wamekuja motooo...Naunga mkono hoja kipenzi changu/ Mtani wangu tuwaachie wakina figo 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Ila wakongwe ni dhahabuAu vipi Bantu Lady 😀😀😀
Kuna ile first impression aisee, yaani Pamba, muonekano, marashi etc
🤣🤣🤣🤣Naunga mkono hoja kipenzi changu/ Mtani wangu tuwaachie wakina figo 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
😃😃😃nimekosa hata cha kusema 😂😂hapa wacha nisome tu maana nahisi nina ulimwengu wangu wa peke angu kipande hicho
😂😂😂😂si ndo maaana nasema kuna vitu havielezeki sometimes naangalia mwenzangu mi naangaliaga viatu🤣🤣🤣🤣
Looh huyo Kidney. Aisee
😃😃😃
Hupandishi na kushusha macho ?
Pua huwa hazinusiii 🤣🤣🤣
Tena moto wa kifuu luv. Kama alivyosema Saint Anne vya kale ni dhahabu, tutakuwepo kunakshinakshi hatuna jinsi 😄😄😄😄😄😄Kabisa dear 😃😃😅🤣🤣🤣🤣maana wamekuja motooo...
Kitambi
Sipendi vitambi
Endelea kuchukulia poa, usiombe kukutana......Jambo la afya yake
Anakula hovyo hovyo
Rangi
Kuna id nikiziona nafurahi..Tena moto wa kifuu luv. Kama alivyosema Saint Anne vya kale ni dhahabu, tutakuwepo kunakshinakshi hatuna jinsi 😄😄😄😄😄😄
Uko kama mimi, nikiona wenzangu bado mpo narudi 😅😅😅😅 unaweza jikuta uko peke yako unabishana na vitoto vyako 😂😂😂😂Kuna id nikiziona nafurahi..
Nyie wakongwe ndio mnaonipa nguvu za kuchangia/kucomment.
Tukipotea mazima majukwaa yatapoa..tuwe tunakazia mada kido kidogo...vya kale dhahabu...ukubwa nao dawa...😃😃😃😃😃😃Tena moto wa kifuu luv. Kama alivyosema Saint Anne vya kale ni dhahabu, tutakuwepo kunakshinakshi hatuna jinsi 😄😄😄😄😄😄