Wakina Dada/ Wanawake ni vitu gani huwa mnaviangalia haraka mnapokutana na Wanamume?

Kama smart halafu unanuka kama beberu umeshaharibu kila kitu ...Unynyu muhimu sana unaleta hali kujiamini fulani .
Ubeberu unatoka wapi ukishaoga zako, hali ya kujiamini huwezi kuipata mwanaume ukipiga unyunyu tutajua tu kuna harufu mwanaume ume kava kupitia unyunyu. Nauliza tena Man unapigaje unyunyu?
 
uzi wa kifala sana huu
 
Mm hata sikumbuki wangu niliangalia nini...πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ I think kwa sbb alikua ana ni spoil...na ni smart upstairs yani ni ana akili ya darasani...ya maisha n.k haongei hovyo hovyo...
Alivyokuwa ana kuspoil hukumuona kama ni zoba au bwege??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…