Wakina Dada/ Wanawake ni vitu gani huwa mnaviangalia haraka mnapokutana na Wanamume?

Wakina Dada/ Wanawake ni vitu gani huwa mnaviangalia haraka mnapokutana na Wanamume?

Kama smart halafu unanuka kama beberu umeshaharibu kila kitu ...Unynyu muhimu sana unaleta hali kujiamini fulani .
Ubeberu unatoka wapi ukishaoga zako, hali ya kujiamini huwezi kuipata mwanaume ukipiga unyunyu tutajua tu kuna harufu mwanaume ume kava kupitia unyunyu. Nauliza tena Man unapigaje unyunyu?
 
Wasalaam Wadau huu uzi nimefikiria kuuanzisha ili kupata maoni ya kina Dada/Wanawake wa humu Jamiiforums. Kama kichwa cha huu uzi kinavyojieleza Dada zangu ni nini hasa au kitu gani huwa unakiangalia na kukiweka kwenye mawazo yako haraka sana? Pale unapokutana na Mwanaume au Kijana kwa mara ya kwanza ? Iwe ni miadi, mualiko au sherehe au tukio lolote linalokukutanisha na Mwanamume/Kijana kwa mara ya kwanza ?.
Nimejaribu kuorodhesha baadhi ya vitu hapa muweze kutuambia hapa. Je ni kipi kati ya hivi nilivyoandika hapa chini huwa ni cha kwanza kukiweka akilini na kukitilia maanani ?

1. Manukato
2. Mikono na kucha
3. Mtindo wa nywele
4. Viatu
5. Usoni
6. Tabasamu
7. Muonekano
8. Mavazi
uzi wa kifala sana huu
 
Mm hata sikumbuki wangu niliangalia nini...😃😃😃😃😃 I think kwa sbb alikua ana ni spoil...na ni smart upstairs yani ni ana akili ya darasani...ya maisha n.k haongei hovyo hovyo...
Alivyokuwa ana kuspoil hukumuona kama ni zoba au bwege??
 
Back
Top Bottom