Kalpana
JF-Expert Member
- Jun 16, 2017
- 32,603
- 62,269
Kweli aiseee😃😃😃Kuna id nikiziona nafurahi..
Nyie wakongwe ndio mnaonipa nguvu za kuchangia/kucomment.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli aiseee😃😃😃Kuna id nikiziona nafurahi..
Nyie wakongwe ndio mnaonipa nguvu za kuchangia/kucomment.
Kitambi na pesa ni ====Kitambi
Sipendi vitambi aseee
Nikionaga mtu ana kitambi naona ni mzembe
Ndio hicho hicho, wanaume wenye vitambi wana mipango ya pesa 90%!Sio kitambi cha kufutia touch ya simu ?🤣🤣🤣
Kidole gumba kidole gumba😄😄Duh yaani huangalii uso, tabasamu, hair cutting style, dressing code au scents how he smells ?🤣🤣🤣
Ubeberu unatoka wapi ukishaoga zako, hali ya kujiamini huwezi kuipata mwanaume ukipiga unyunyu tutajua tu kuna harufu mwanaume ume kava kupitia unyunyu. Nauliza tena Man unapigaje unyunyu?Kama smart halafu unanuka kama beberu umeshaharibu kila kitu ...Unynyu muhimu sana unaleta hali kujiamini fulani .
viatu viiwaje??4.viatu
uzi wa kifala sana huuWasalaam Wadau huu uzi nimefikiria kuuanzisha ili kupata maoni ya kina Dada/Wanawake wa humu Jamiiforums. Kama kichwa cha huu uzi kinavyojieleza Dada zangu ni nini hasa au kitu gani huwa unakiangalia na kukiweka kwenye mawazo yako haraka sana? Pale unapokutana na Mwanaume au Kijana kwa mara ya kwanza ? Iwe ni miadi, mualiko au sherehe au tukio lolote linalokukutanisha na Mwanamume/Kijana kwa mara ya kwanza ?.
Nimejaribu kuorodhesha baadhi ya vitu hapa muweze kutuambia hapa. Je ni kipi kati ya hivi nilivyoandika hapa chini huwa ni cha kwanza kukiweka akilini na kukitilia maanani ?
1. Manukato
2. Mikono na kucha
3. Mtindo wa nywele
4. Viatu
5. Usoni
6. Tabasamu
7. Muonekano
8. Mavazi
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Natokea nikiwa hivi na kibunda ya kutosha nione kama utachomoa kudadeki.View attachment 3099746
Alivyokuwa ana kuspoil hukumuona kama ni zoba au bwege??Mm hata sikumbuki wangu niliangalia nini...😃😃😃😃😃 I think kwa sbb alikua ana ni spoil...na ni smart upstairs yani ni ana akili ya darasani...ya maisha n.k haongei hovyo hovyo...
Ulivyovyaa vitanionesha kama we ni ba mchungaji,mnywa komoni,mkata mitaa,mtu na heshima zake,bishoo tu au mtoto wa afumbiliviatu viiwaje??
😊😊😊Ulivyovyaa vitanionesha kama we ni ba mchungaji,mnywa komoni,mkata mitaa,mtu na heshima zake,bishoo tu au mtoto wa afumbili
😂😂😂😂sisemi😊😊😊
Vya mnywa komoni vinakuwaje
Nipe hizo code ili nisije kuwa nakosea naona nimevaa vizuri kumbe naonekana kama mnywa komoni😂😂😂😂sisemi
Tuma picha kwanza nione ulivyovyaa afu nikwambieNipe hizo code ili nisije kuwa nakosea naona nimevaa vizuri kumbe naonekana kama mnywa komoni
Au nikupe description ya kiatu ni cha mtumba mtindo wa buti fupi kina rangi ya kahawiaTuma picha kwanza nione ulivyovyaa afu nikwambie
Jina lako tu haliendani na komoni ongeza hiyo kiatu sina tatizo na wewe labda tu kiwe kimekula vumbi hapo ndo tabu itapoanziaAu nikupe description ya kiatu ni cha mtumba mtindo wa buti fupi kina rangi ya kahawia