Nafata vile mwanangu anatakaπUjage bhana alaaaa nishakuombea msamaha kwa modsππ
Mwanao ana umri ganNafata vile mwanangu anatakaπ
Yupo tumboniπMwanao ana umri gan
ππππYupo tumboniπ
Uzi ufungwee,
Ananiendesha balaa sometimes natamani matikitiki ya kuchemshaππππππ
Aiseee ngoja niendelee kumsubiri kajomba kangu
ππππ Hata kama chizi bora awe anapumuaHalafu wanawake wakishafika 45 , hawachagui tena ni kukokota aliepo mbele yake
Chai hiiAnaniendesha balaa sometimes natamani matikitiki ya kuchemshaππ
Tena ya motoπ€£Chai hii
Niingie jua kali au sio? πΉIle ww ni bonge la muigizaji
Ubuyu to the mulaaah π€£π€£Mpenda ubuyu π
Hukumpa namba? πPage imefika mwisho ππππ
Labda nimalizie tu
Kaka wa watu alinishukuru sana.
Nilimfanyia wema Kwa sababu mimi siyo mwizi na pia nililipia wema alionifanyia njiani.
Chap yaani Kuna vitu unavyo vya maana sana.Niingie jua kali au sio? πΉ
Hapana NkamuHukumpa namba? π
Nkamu malizia story km umeshindwa hapa basi ntakucheck WhatsApp usintanie hii story bado haijaisha π€£π€£π€£Hapana Nkamu
Nilikula Kwa macho