Wakina Dada/ Wanawake ni vitu gani huwa mnaviangalia haraka mnapokutana na Wanamume?

Wakina Dada/ Wanawake ni vitu gani huwa mnaviangalia haraka mnapokutana na Wanamume?

Hata utoke umefagia mbolea ya nguruwe wewe

Mwonyeshe hela

Nasema mwonyeshe hela

Narudia mara ya tatu mwonyeshe na mpe hela.

Marashi,mwonekano/mavazi itabaki kuwa mambo yako binafsi na life style yako.

Uvae vizuri halafu huna noti huo ujasiri wa kumsemesha demu unautoa wapi.

Mademu hawa wa kileo na tabia yao kutaka maisha ya gharama! Mwonekano kitu gani? Marashi?
 
Kumbe kuna ulazima wa mwanaume kujiweka dizain fulani ili kuwa attractive kwa dada za watu?

Sasa kipi kifanyike,madogo mtafute hela au mtafute u-smart?kazi mnayo!
 
Page imefika mwisho 😂😂😂😂

Labda nimalizie tu
Kaka wa watu alinishukuru sana.

Nilimfanyia wema Kwa sababu mimi siyo mwizi na pia nililipia wema alionifanyia njiani.
Hukumpa namba? 😜
 
Back
Top Bottom