To yeye
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 35,686
- 86,968
Hakika hakika🤨Hitaji la msingi, mambo ya kuchafuana hatutaki!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakika hakika🤨Hitaji la msingi, mambo ya kuchafuana hatutaki!
Achana na hela kwanza hii wananwake ndio wanaweza wakatoa majibu yanayoeleweka sasamwanamke mpe hela,nasema tena mpe hela,mwanamke ameumbwa na huruma,yupo tayari kulea kilema Cha aina yeyote muhimu kuwe na pesa tu ...Pesa ni sabuni ya roho,pesa ni NGUVU za KIUME,wanaume wenye pesa za kuhonga tujipige kifua na kujidai💪
live watuambie tujizingatieeWasalaam Wadau huu uzi nimefikiria kuuanzisha ili kupata maoni ya kina Dada/Wanawake wa humu Jamiiforums. Kama kichwa cha huu uzi kinavyojieleza Dada zangu ni nini hasa au kitu gani huwa unakiangalia na kukiweka kwenye mawazo yako haraka sana ? Pale unapokutana na Mwanaume au Kijana kwa mara ya kwanza ? Iwe ni miadi, mualiko au sherehe au tukio lolote linalokukutanisha na Mwanamume/Kijana kwa mara ya kwanza ?.
Nimejaribu kuorodhesha baadhi ya vitu hapa muweze kutuambia hapa. Je ni kipi kati ya hivi nilivyoandika hapa chini huwa ni cha kwanza kukiweka akilini na kukitilia maanani ?
1. Manukato
2. Mikono na kucha
3. Mtindo wa nywele
4. Viatu
5. Usoni
6. Tabasamu
7. Muonekano
8. Mavazi
Mbona unatusemeaaaa 😖mwanamke mpe hela,nasema tena mpe hela,mwanamke ameumbwa na huruma,yupo tayari kulea kilema Cha aina yeyote muhimu kuwe na pesa tu ...Pesa ni sabuni ya roho,pesa ni NGUVU za KIUME,wanaume wenye pesa za kuhonga tujipige kifua na kujidai💪
HakikaAchana na hela kwanza hii wananwake ndio wanaweza wakatoa majibu yanayoeleweka sasa
We Zombie! Haujui!!!Maneno ndo huwa wanasikiliza
Siku moja nasafiri alikuwepo gentleman mmoja ila alipoanza kuimba ile nyimbo ya
Diamond inasema "kibane kibane mwisho kiliwe " that was too shit wanawake walimshusha vyeo vyote Asap.
Good looking and being smart upstair you can attract the pretty woman.
Unafeli wapi au unashindwa kuchagua viatu vizuri?Hapo kwenye viatu daah ndo nafeligi dadek..
😎😎😎🤗We Zombie! Haujui!!!
Na Simba la Masimba Dangotee
Eh bathi eh eh, eh eh!
Ah eh yah yah eh aiii aiii
Kibanebane mwisho kiliwe na nyenyere
Kibanebane mwisho kiliwe na nyenyere
😅😅😅😅😅 vinaelezea statusUnafeli wapi au unashindwa kuchagua viatu vizuri?
🤣🤣🤣🤣🤣🙌🙌🙌🙌 luv umemaliza kila kitu. Mimi napenda tu kuwaangalia kwenye zipu. Maana kuna wanaodidindisha, basi unajua huyu kibamia huyu wa kati, yule mandingo. Ubusy tu siku hizi, unatunyima kuona vitu vinavyovimba bila hamira 😊Hitaji la msingi, mambo ya kuchafuana hatutaki!
Hela itajulikana badae kidogo ila kwa haraka haraka muonekano kiujumla ndio kitu kinaanza kabla ya mengine.Wao cha kwanza ni HELA, mengine hua wanavumilia hata mkae miaka 1000
AiseeHitaji la msingi, mambo ya kuchafuana hatutaki!
Kuna mdada moja yeye qnapenda wanau wenye vitambi, anasema Huwa ateseki na shughuli....nilimshangaa Sana.Kitambi
Sipendi vitambi aseee
Nikionaga mtu ana kitambi naona ni mzembe
Hakika. Sipendi wanaume wanaovaa yale masendo kama matofali unajua tu ni kahuni.😅😅😅😅😅 vinaelezea status
Hata Mimi huwa nafeli sana nilishawahi kupost humu kama aina nne Mabinti havikuwavutia 🤣🤣🤣
Nikitaka kununua tena cocastic kaniambia ana chimbo lake la viatu vikali nitamcheki