Wakina Dada/ Wanawake ni vitu gani huwa mnaviangalia haraka mnapokutana na Wanamume?

Kwahy boss umesema tuwe tunatembea huku tumedindisha muda wote?
 
Zamani nilikuwa napenda kuangalia wanaume wanao vaa vimodo, ule mchoro unajua kama ni kibamia, mandingo, msolopa, mwana ukome au dushee; yani wacha nitubu.
Ila wanaume kitu muhimu ni zipu, mengine mbwembwe tu.
 

Kwahiyo Bantu Lady na Jaji Mfawidhi macho yenu first huanzia hapo ???? 🀣🀣🀣
 
Wewe unabidi upate Mtumishi hao ndo hunena maneno ya hekima 😎
Watumishi wengi washamba wachafu
Sijui nani aliwaambia Mungu anapenda uchafu
Na ukiokoka usijipende kimwili..
......
Kuna wakaka tu ni wastaarabu hata kama siyo Mtumishi.
Kuna siku nilipanda mwendokasi imejaa sana
Nikasimama kwenye yale maungio panapojikunja na nimesimama katikati ,pembeni kote kumejaa
Gari imetoka almanusura nidondoke sina pa kujishikilia.
Kuna kaka alikuwa amesimama pembeni ameegemea gari akaniambia dada njoo usimame hapa...akasogea kidogo nipate nafasi.

*Tone yake aliyotumia
Unaona kabisa ni mtu mstaarabu. mwenye utu.
*Alivaa kistaarabu, casual
Na pia alikuwa ananukia.
First impression jamani Mimi napenda mtu ananukia aisee...msafi,
Avae kiheshima na asiwe na muonekano kama kibaka.
 
Saint Anne Mkaka anayenukia βœ…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…