Wakina Dada/ Wanawake ni vitu gani huwa mnaviangalia haraka mnapokutana na Wanamume?

Tatizo si kupenda nazungumzo ya ngono tu. Wenzetu wana mpaka pornography industry wameifanya biashara kabisa.

Tatizo ni kujikita sana kwenye mazungumzo ya ngono na kushindwa mengine.

Yoda
Yes wenzetu kila kitu ni fursa. Sisi tunashindwa kugeuza kitu kuwa fursa. Tunabakia kuwa na uraibu tu, bila kupata faida. Nimekupata vizuri.
 
Awe na uwezo Mzuri Kichwani wa kuzungumza mambo,Asiwe Mjuaji, Ajue kujali, Avae vizuri na mambo mengine kama hayo.
 
Uwezo wa kunifanya nimpe attention Yan mazungumzo yenye ukomavu

Usafi mavazi ukivaa chini ya Tako suruali nimekushusha vyeo mara mia uvae masulupwete πŸ˜€
Mengine siriyangu
Kupika chapati za kusukuma ndo siri yako πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

Bora nivae Malegezo tuu πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Vipi baada ya hapo? Kulikua na mwendelezo mzuri?

Vipi safari yenu, iliisha na happy ending?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…