Wakina Dada/ Wanawake ni vitu gani huwa mnaviangalia haraka mnapokutana na Wanamume?

Wakina Dada/ Wanawake ni vitu gani huwa mnaviangalia haraka mnapokutana na Wanamume?

Wasalaam Wadau huu uzi nimefikiria kuuanzisha ili kupata maoni ya kina Dada/Wanawake wa humu Jamiiforums. Kama kichwa cha huu uzi kinavyojieleza Dada zangu ni nini hasa au kitu gani huwa unakiangalia na kukiweka kwenye mawazo yako haraka sana ? Pale unapokutana na Mwanaume au Kijana kwa mara ya kwanza ? Iwe ni miadi, mualiko au sherehe au tukio lolote linalokukutanisha na Mwanamume/Kijana kwa mara ya kwanza ?.
Nimejaribu kuorodhesha baadhi ya vitu hapa muweze kutuambia hapa. Je ni kipi kati ya hivi nilivyoandika hapa chini huwa ni cha kwanza kukiweka akilini na kukitilia maanani ?

1. Manukato
2. Mikono na kucha
3. Mtindo wa nywele
4. Viatu
5. Usoni
6. Tabasamu
7. Muonekano
8. Mavazi
Zipu ya suruali, kama pako flat kama sisi huyo hamna kitu.
 
Back
Top Bottom