Wakina Dada/ Wanawake ni vitu gani huwa mnaviangalia haraka mnapokutana na Wanamume?

Wakina Dada/ Wanawake ni vitu gani huwa mnaviangalia haraka mnapokutana na Wanamume?

Mtoto wa mama ,ni wale Huwa wanajiliza Liza Kwa Wanawake na kujinyonga au kuvurugika maisha kisa wameshindana na mwanamke.

Kiufupi ni wanaume dhaifu sana.
Hamna bwana. Wapo wengi tu wananukia ni wanaume kweli na hawana hizo pigo.
 
Kitambi

Sipendi vitambi aseee
Nikionaga mtu ana kitambi naona ni mzembe
Mimi nakitambi kizuri Cha kuchomekea na kuvalia SUTI 😅 of course Mimi nilikuaga mwembamba Sanaa kwa kweli nashukuru nimetoka huko kwenye WEMBAMBA now na MWILI wa UBONGE

Kuna member humu ameisha wai kutoa thread ya aina tatu ya vitambi na characteristics zake..

So wenye vitambi vizuri vizuri tuheshimiwe😊😊
 
Eeh. Naomba kuuliza Mwanaume anatakiwa ajipulizie unyunyu tena? Mi nilijua unyunyu ni kwa ajili ya ladies tu.
Siku zote najua mwanaume ukiwa smart tu ndio imeisha hiyo kumbe na unyunyu khaa
 
Yaani uwe unanukia,umevaa Pamba Kali na kiatu harafu unatembea Kwa miguu au baiskeli? Hiyo ni jau sana.

Niliwahi nunua manukato nikasahau kutumia Sasa Kuna demu huwa anakuja kufanya usafi ikabidi aniombe eti Huwa situmii,nikampa 😁😁

Mimi ni Me nikisikia mwanaume ananukia Huwa namdharau 😂😂
Swala la perfume kwa kweli siwez kutok bila perfume na nyingine huw nabeba ktk Bag na ktk gari ipo. Nishazoea tangia nipo shule hadi waalimu walikuw wanacopy perfume zangu niwatajie jina wakanunue na mm nawapa boko 😅 staki tufanane.

Point of correction.

Perfume ni kwa WANAWAKE
Mwanaume anatumia COLOGNE

ila kibongobongo tume generalize neno Perfume.
 
Maneno ndo huwa wanasikiliza

Siku moja nasafiri alikuwepo gentleman mmoja ila alipoanza kuimba ile nyimbo ya

Diamond inasema "kibane kibane mwisho kiliwe " that was too shit wanawake walimshusha vyeo vyote Asap.

Good looking and being smart upstair you can attract the pretty woman.
Nifah wewe kibane bane mwisho kiliwe na mzee wa kupambania Nifah Mzee wa kupambania
 
Eeh. Naomba kuuliza Mwanaume anatakiwa ajipulizie unyunyu tena? Mi nilijua unyunyu ni kwa ajili ya ladies tu.
Siku zote najua mwanaume ukiwa smart tu ndio imeisha hiyo kumbe na unyunyu khaa
Kama smart halafu unanuka kama beberu umeshaharibu kila kitu ...Unynyu muhimu sana unaleta hali kujiamini fulani .
 
Muonekano ya nje ndio mpango mzima , kuwa smart ila idara hayo mambo ya muonekano wa ndani kama inches kwani umekuwa fenesi nn?
 
Back
Top Bottom